Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Chiiiiii hamuogopi wakiwazidi nguvu???
 
Sasa mkiacha mlango wazi alafu mkalala paka shume ndo wanawaamsha kuwa wamekuja au?
 
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
Tafuta mzoga wa kuku, weka sumu kali kutoka maduka ya madawa ya mifugo, mpasue kati kati, jaza sumu........ Subiri kuona kimya kizito pasipo kusumbuliwa
 
Usithubutu kufunga nakuanza kumpiga paka utaufungua wewe kwa lazima
 
Tafuta mzoga wa kuku, weka sumu kali kutoka maduka ya madawa ya mifugo, mpasue kati kati, jaza sumu........ Subiri kuona kimya kizito pasipo kusumbuliwa
Ahsante sana. Sumu kama ipi mkuu? Dawa Ipi inamuua fasta?
 
Kama una umeme home, tumia electric shock, short ya umeme inamuumiza kama siyo kumuuwa . Alipona basi hatarudi tena
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…