Usiku wa manane nani alikuwa anatupiga picha wakati tunawaua?
Huyo paka kazoea kula nyama mbichi...ili aache inabidi ukipika kuku uwe unamuwekea kipaja na mchuzi akizoea michuzi ataacha kula vibichi. Pia ukikaanga mayai muwekee na yeye had azoee vya kupikwa.Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
aisee we jamaa jasiri duh! sisi huku dar sijui kama inawezekana hiyo mmh! lazima mtu upige yowe la msaada
Wee Semenya unamaanisha nyumbani kwa shemeji yako?Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.
Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Mkuu unataka wamrestishe ini pisi?😁😁😁 paka yeyote usimtanie,wadogo zake chuiSisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.
Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Wananisukia ule (mgono) ni mtego wa samaki,siku hizi mingine wanatengeneza ya kutegea panya. Unakuwa na tundu la kutosha kuingia huyo mnyama. Wanasukia matete au vipande vya mianzi. Huku nyuma mwisho nako kunakuwa na tundu kubwa kwa juu,unachomeka matambala kwa kutokea ukimnasa. Akiingia nachukua mtego naweka nyuma ya gari,au nampa kazi bodaboda, wanayapeleka huko polini ni umbali wa kilometa 30,40 hivi. Huwa harudiLinarudi chap hususan yale meusi
Yaani ale kuku zangu halafu nitumie gharama yote hii? Dawa hapo ni kuuzamisha mtego kwenye maji au kulitia moto kabisa, aseeeehWananisukia ule (mgono) ni mtego wa samaki,siku hizi mingine wanatengeneza ya kutegea panya. Unakuwa na tundu la kutosha kuingia huyo mnyama. Wanasukia matete au vipande vya mianzi. Huku nyuma mwisho nako kunakuwa na tundu kubwa kwa juu,unachomeka matambala kwa kutokea ukimnasa. Akiingia nachukua mtego naweka nyuma ya gari,au nampa kazi bodaboda, wanayapeleka huko polini ni umbali wa kilometa 30,40 hivi. Huwa harudi
Duuh...! Una hasira na hilo dubwana balaa.Yaani ale kuku zangu halafu nitumie gharama yote hii? Dawa hapo ni kuuzamisha mtego kwenye maji au kulitia moto kabisa, aseeeeh
Hahaha ngoja nilidake tu, nitaleta picha hapa hapaDuuh...! Una hasira na hilo dubwana balaa.
Lakini huyo paka shume si nae anaua kuku? tena wengine pengine wana vifaranga.Kwanini umuue. ..kwani wewe ndiye mwenye haki pekee ya kuishi duniani. .....yaani mtu unaongelea kuua kiumbe as if ni normal thing kweli..?
Lakini huyo paka shume si nae anaua kuku? tena wengine pengine wana vifaranga.
Samahan mkuu!! We ni kabila gani mbona una huruma hivyoNakula kuku mfu. .Lakini angalau huwa sishiriki katika kumdhulumu uhai wake. ...Pia kama isingekuwa kukulia kwenye mazingira yanayo halalisha mauaji ya kuku. .nisingelikuwa Nakula nyama yao kabisa
Samahan mkuu!! We ni kabila gani mbona una huruma hivyo
Hahaha hahahahaTAFUTA MBWA MKUBWA MKALI UONE PAKA ANAVYOHAMISHA MAKAZI NA HAWATAKANYAGA KWAKO TENA.
KUMBUKA KUWA UKIFUGA MBWA KOKO ATAPIGWA MAKOFI NA PAKA HADI ACHAKAE.
Hongera kwa kuwa na huruma mkuu. Mie sinaga hata chembeMimi ---mluguru mkuu "
Nina wasiwasi mkuu hadi uweke picha yako hapa hahaha.Mbona wewe unashiriki kula nyama ya kuku. Mbuzi. Na haujauliwa. ...
Then wewe ni binaadamu una utashi mkubwa-... haupaswi kujifananisha Kifikira na Mnyama...Wanyama wanao kula nyama kuwinda ni asili yao. ...yaani waneumbwa kuwa hivyo ''" so kosa Lao wao ni lipi. ..wakati hawakuchagua kuwa hivyo ila nature ya ulimwengu ndio iliwaamulia hiyo lifestyle if ungekuwa umeumbwa paka na wewe ungekuwa na attitude kama ya huyo paka shume tu
Nina wasiwasi mkuu hadi uweke picha yako hapa hahaha.