Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Weera weraaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
740
Reaction score
657
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu

-----------------------------------------------------------------------------------------

MREJESHO:

nawashukuru kwa msaada. Paka Yule Amekufa Jana. Nilimtega na sumu ya panya Aina ya ratox packet sita, vidonge nane vya ibuprofen na vidonge sita vya indocid. Hivyo nilimpa na msosi wa Samaki.
Ahsanteni Sana.
 
Mkuu ushajaribu njia zipi kumkabili huyo kiumbe muharibifu?
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
 
subutuuuu! mdanganye wamng'oe Pumbz
 
Hahaa

Mkuu Viatu vya Samaki , humo ndani paka watano nitasalimika kweli? Nataka sumu ya kumuua. Ile ya panya haifai?
 
Nakula kuku mfu. .Lakini angalau huwa sishiriki katika kumdhulumu uhai wake. ...Pia kama isingekuwa kukulia kwenye mazingira yanayo halalisha mauaji ya kuku. .nisingelikuwa Nakula nyama yao kabisa
Huwa unakula kuku hai nini mkuu? Sihitaji ushauri wa kutomuua ila namna bora ya kumuua.
 
Nakula kuku mfu. .Lakini angalau huwa sishiriki katika kumdhulumu uhai wake. ...Pia kama isingekuwa kukulia kwenye mazingira yanayo halalisha mauaji ya kuku. .nisingelikuwa Nakula nyama yao kabisa
Unashiriki kumdhulumu kwa kuwa ukiacha kula wewe, hatachinjwa. Binadamu wezi wanauawa sembuse hawa paka wezi?
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
kweli wewe ni Viatu vya Samaki
 
Huyo ni binaadamu ana uwezo mpana wa kufikiri kuliko huyo paka. .bado Kuna njia nyingi tu ambazo anaweza kuzitumia zikasaidia kuto muhusu huyo paka kufika hapo. ..kuliko kumdhulumu haki yake ya kuishi
Kwa hiyo unamshauri jamaa aache paka watafune kuku tu... yani unamshauri afuge kwa ajili ya paka pori??
 
Binaadamu wezi wanauwawa. Si wanauliwa na watu wenye mitazamo kama yako
Unashiriki kumdhulumu kwa kuwa ukiacha kula wewe, hatachinjwa. Binadamu wezi wanauawa sembuse hawa paka wezi?
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.

aisee we jamaa jasiri duh! sisi huku dar sijui kama inawezekana hiyo mmh! lazima mtu upige yowe la msaada
 
Back
Top Bottom