Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Sasa si aongee na huyo rafiki yake asigawawe passwordUmesoma umeelewa kweli? Amesema kila akibadili password akimpa rafiki yake, users wengine wanaogezeka. Kumbuka huyo rafiki yake lazima ampe password maana wanafanya kazi pamoja
Yeye ameshakwambia, ni lazima ampe. Sababu anajua yeye kwanini ni lazimaSio lazma kumpa hata kama anafanya naye biashara
Mwambia aache kuwapa watu wengine uwezo wa kutumia iternet yako au umuogopa?Airtel smart box haina option hiyo nimejaribu kuitafuta sijaipata
Ushaongea nae kwamba hufagilii pogo zake? Au nfo mnalindana kibingwaNimefanya sana mkuu ila kila nikimpa password anashare na watu wengine
Njia rahisiHabari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20, chakushangaza kwenye simu yake kuna QR code inayomruhusu kushare wifi yangu kwa mtu mwingine bila kutumia password, naomba msaada jinsi ya kuzuia mtu kushare wifi.
Kila nikiangalia kwenye connect list naona kuna users zaidi ya 10, mimi binafsi natumia simu na laptop pekee, nahisi rafiki yangu ame share kwa watu mwengine.
naomba msaada wakuu ili niweze kuwaondoa au kuzuia hili tatizo, nimajaribu kubadilisha password lakini kila nikimpa password rafiki yangu nashangaa baada ya muda users wanaongezeka, binafsi huyu rafiki tunafanya nae biashara ni lazima akija ofisini kwangu atumie wifi yangu.
Tumia https://192.168.0:1 kama sikosei kisha jaaza username admin na password admin ili upate access ya kuingia kwenye dashboard ya router. Hapo utaweza kudhibiti users kwa kuwablock na kuweka watumie speed ndogo.Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20, chakushangaza kwenye simu yake kuna QR code inayomruhusu kushare wifi yangu kwa mtu mwingine bila kutumia password, naomba msaada jinsi ya kuzuia mtu kushare wifi.
Kila nikiangalia kwenye connect list naona kuna users zaidi ya 10, mimi binafsi natumia simu na laptop pekee, nahisi rafiki yangu ame share kwa watu mwengine.
naomba msaada wakuu ili niweze kuwaondoa au kuzuia hili tatizo, nimajaribu kubadilisha password lakini kila nikimpa password rafiki yangu nashangaa baada ya muda users wanaongezeka, binafsi huyu rafiki tunafanya nae biashara ni lazima akija ofisini kwangu atumie wifi yangu.
Tatizo sio kujua password sijawahi kumpa password, kila kitu huwa nafanya mimi, namuwekea password kwenye simu yake.Njia rahisi
1. Badilisha password
2. Chukua simu ya rafiki yako
3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
Kwenye router kuna option ya idadi ya watumiaji wa wifi ya router (angalia vizuri). Weka user 2 yaani iwe wewe na huyo jamaa yako. ItasaidiaTatizo sio kujua password sijawahi kumpa password, kila kitu huwa nafanya mimi, namuwekea password kwenye simu yake.
In modern smartphones, you dont need to know the password ili kuunga wifi. You just scan QR code then paap wifi inaconnect.3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
Unabadilisha idadi ya users. Kuna option unaweza kuweka 2 tu au 1 ukiconnect wewe tu hakuna mtu atakayeweza kukuconnect hata umpe passwordIn modern smartphones, you dont need to know the password ili kuunga wifi. You just scan QR code then paap wifi inaconnect.
Huyu hawezi kubadirisha kwasababu akimuungia tu anaona.Njia rahisi
1. Badilisha password
2. Chukua simu ya rafiki yako
3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
Ni feature nzuri saana kwa wale wanaoihitaji. Inafanya maisha rahisi. Mimi nimeprint QR code na kuweka sehemu ili wageni wangu wascan tu na kuenjoy free WiFi.Wamezingua sana mkuu
Hapo hapunguze idadi ya users tuHuyu hawezi kubadirisha kwasababu akimuungia tu anaona.
Mfano mimi ukiniandikia password, naenda share kuna barcode inakua hivi:
View attachment 2984906
Hiki ni kisukuma?Sed ubya bassword wode wadadoka audomadically
najiulizaUshajua yeye ndiye anayegawa password, kwanini unampa tena sasa
Let him try this. We expect feedback from him!!Unabadilisha idadi ya users. Kuna option unaweza kuweka 2 tu au 1 ukiconnect wewe tu hakuna mtu atakayeweza kukuconnect hata umpe password