Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.

Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20, chakushangaza kwenye simu yake kuna QR code inayomruhusu kushare wifi yangu kwa mtu mwingine bila kutumia password, naomba msaada jinsi ya kuzuia mtu kushare wifi.

Kila nikiangalia kwenye connect list naona kuna users zaidi ya 10, mimi binafsi natumia simu na laptop pekee, nahisi rafiki yangu ame share kwa watu mwengine.

naomba msaada wakuu ili niweze kuwaondoa au kuzuia hili tatizo, nimajaribu kubadilisha password lakini kila nikimpa password rafiki yangu nashangaa baada ya muda users wanaongezeka, binafsi huyu rafiki tunafanya nae biashara ni lazima akija ofisini kwangu atumie wifi yangu.
Njia rahisi
1. Badilisha password
2. Chukua simu ya rafiki yako
3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
 
Tumia https://192.168.0:1 kama sikosei kisha jaaza username admin na password admin ili upate access ya kuingia kwenye dashboard ya router. Hapo utaweza kudhibiti users kwa kuwablock na kuweka watumie speed ndogo.
 
In modern smartphones, you dont need to know the password ili kuunga wifi. You just scan QR code then paap wifi inaconnect.
Unabadilisha idadi ya users. Kuna option unaweza kuweka 2 tu au 1 ukiconnect wewe tu hakuna mtu atakayeweza kukuconnect hata umpe password
 
Njia rahisi
1. Badilisha password
2. Chukua simu ya rafiki yako
3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
Huyu hawezi kubadirisha kwasababu akimuungia tu anaona.

Mfano mimi ukiniandikia password, naenda share kuna barcode inakua hivi:
Screenshot_20240508-214227.png
 
Back
Top Bottom