IqraNI
Senior Member
- May 16, 2020
- 144
- 144
- Thread starter
- #41
Muda mwingine ndio wanafanya hayo maamuzi sababu kunakuwa hakuna namna.Wadada wa kazi kupata imekuwa ngumu sana na kupata anayejitambua ni ngumu zaidi. Maana siku hizi wadada ndio wanga, wauaji, wasambaza magonjwa yaani mtihani tu. Pole sana, sometimes naelewa kwa nini wazazi wanapeleka watoto wadogo boarding
Na hakuna wanaotaka kufanya kazi hizo kwa kuja na kurudi kwake(day job)