Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

Si mumbadilishe?

Na kama hamna mtoto mdogo
Fikiria kupata mtu wa kuja kufanya kazi kwa siku kadhaa tu kwa wiki baas
 
Si mumbadilishe?

Na kama hamna mtoto mdogo
Fikiria kupata mtu wa kuja kufanya kazi kwa siku kadhaa tu kwa wiki baas
Kupata mtu wa hivo ni changamoto, mtoto yupo lakini kuna mtu anamhudumia.
 
Nilichojifunza na kukiona kwa hawa wasaidizi, wana walimu wengi sana hasa majirani zetu wenye wivu. Wanawajaza maneno hasi mengi kiasi kwamba anawaona kwa mtazamo mwingine kabisa mbaya.
Kingine wanatumiwa sana na Shetani, hasa wale ambao hawajasimama kwenye imani sawasawa. Utakuta wanakamatwa na mapepo, ndio yanayowafanya wafanye vituko na wengine wanakuwa maajenti wa Shetani.
Ukiwa na watoto ambao umewaweka huru kukueleza vitu, watakueleza mengi kuhusu mlezi wao huyo.
Muhimu ni kuwa makini na kumwomba Mungu awasaidie, maana wanaweza kufanya jambo baya la kukuletea maumivu na majuto.
 
Mfanye kama ndugu, then usimnyanyase kingono mlipe amana yake kwa wakati
 
Back
Top Bottom