Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

Wadada wa kazi kupata imekuwa ngumu sana na kupata anayejitambua ni ngumu zaidi. Maana siku hizi wadada ndio wanga, wauaji, wasambaza magonjwa yaani mtihani tu. Pole sana, sometimes naelewa kwa nini wazazi wanapeleka watoto wadogo boarding
Muda mwingine ndio wanafanya hayo maamuzi sababu kunakuwa hakuna namna.

Na hakuna wanaotaka kufanya kazi hizo kwa kuja na kurudi kwake(day job)
 
unawezaje kuishi na house girl mwenye miaka 19? na hajaanzia kwako? na ana simu? anachati na waliomtoa bikra? atakuchukulia ndoa muda si mrefu. house girl anatakiwa awe yule asiye na uelewa, asiye na akili nzuri hata za kumiliki simu.
 
Huyo si mfanyakazi amekuja kutembea tu na kuona mji.

Tena muweke tahadhari kubwa na vitu vyenu hasa kama mapambo ya mama maana anaweza kuruka navyo.

Siku ya siku mumeamka yeye amemwaga manyanga na ameondoka na vifaa muhimu.
Aliomba mwenyewe kuondoka
 
unawezaje kuishi na house girl mwenye miaka 19? na hajaanzia kwako? na ana simu? anachati na waliomtoa bikra? atakuchukulia ndoa muda si mrefu. house girl anatakiwa awe yule asiye na uelewa, asiye na akili nzuri hata za kumiliki simu.
Ni kujitambua tu, na kuelewa majukumu yako
 
Ni kujitambua tu, na kuelewa majukumu yako
nakushauri, tafuta mmama mtu mzima wa kuja asubuhi na kuondoka, mpe 150,000 kwa mwezi. purukushani zoote za mahausi geli sijui wachawi, sijui waiba ndoa za watu, sijui watesa watoto, utazisahau.
 
Pole sana
 
Pole sana
 
kwa kawaida ukiona upo na msichana wa kazi hataki kupiga mswaki, hataki kuoga, jua ni mchawi. wachawi wanapenda sana uchafu.
 
Wiki tatu na unataka awe ameweza kufanya kila kitu? Nyie ndiyo mnatumikisha wasichana wa kazi kama punda.
 
Wiki tatu na unataka awe ameweza kufanya kila kitu? Nyie ndiyo mnatumikisha wasichana wa kazi kama punda.
Unajua ana umri gani mpka nasema hivi? Kwa hyo hata hzo wiki tatu hajaona utaratibu wa ndani kwangu kua ni lazima kuoga, kuswaki na mifano ya hyo? Mdada mtu mzima mimi ndie wa kumwambia vitambaa vya kujihifadhi akiwa katka ada yake anapaswa kuvifua? Hapa naongelea usafi wa yeye binafsi je usafi wa mazingira
ya kwangu ataweza vipi ikiwa hayupo tayari kujifunza? Usiseme usilolijua.
 
Aliomba mwenyewe kurudi siku inayofuata
Asilimia 90 ya malalamiko wanayotoa wakina mama kuhusu ''wadada wa kazi'', unakuta wenye makosa ni hao kinamama waajiri. Kina mama wengi wanadhani wasichana wa kazi ni maroboti ya kufanya kila kitu nyumbani. Hawawapi mapumziko wala entertaiments zozote, hawawajali kama ni binadamu, yaani ni kuwafokea muda wote.
 
Mpende mjali usimfokee fokee. Usimwachie kila kituuu
 
Haya ya kufua tena vitambaa mapya. Unashindwa kumnunulia pads? Unaona mapungufu yako yanavyoanza kujitokeza? Na pengine katika kumfundisha unatumia lugha kali au maelezo yako siyo mazuri.
 
Si mfanyakazi huyo, mrudishe kwao.
 
Juz nimetoa Boko dad wa Kaz za ndani nimemchakata kimasira San kwa bos wake muda mfupi baada wa boss wake kuondoka kwenda kazini kwake .boss Ni boloz anatumia gari zenye namb za ubaloz ananyumba gorofa moja matat San mma anafanya Kaz wizara ya afya Kam mkurugenzi wa idara fln

Niliwaza sna imewezekanaje bint yule akubali nikamchakate ndani ya nyumba yao Tena Room za chini na mm niliwaza ilikuaje na mm nikakubali kupelewa ndani niliwaza je boss angekuja ghafla anifetulie risasa akidai mm mwiz nilikoma na sas narud zangu dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…