Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

Haya ya kufua tena vitambaa mapya. Unashindwa kumnunulia pads? Unaona mapungufu yako yanavyoanza kujitokeza? Na pengine katika kumfundisha unatumia lugha kali au maelezo yako siyo mazuri.
Kila mtu ana kitu chake alichozoea kujistiri nacho katika ada kama unamuhitaji nikupe namba za wazazi wake ukawasaidie kumlea na kumfanyia hayo niliyoshindwa kuyatekeleza
 
Kurudidisha Ni rais Sana kuliko kupata sas kwa wakat siku hz kuna magraduate kbsa wanataka hz Kaz za ndani ila hawalali Happ kazi Kaz nakupika kuosha vyombo na kusepa
 
Mkuu acha kutoa lawama zisizo na kichwa. Mtu hata kuoga na kupiga mswaki napo unataka afundishwe!!?wengine hawaaminiasuala ya pads katoka kwao kafundishwa kutumia vitambaa hata nunulie lori zina la pads ataendelea kutumia vitambaa vyake. Kuosha vyombo na kufua napo umfundishe mtu mzima,hata mtoto wa darasa la kwanxa anafahamu kuosha vyombo.

Utetezi muachie joyce kiria,napo nae anatetea huku anatoa wadada wanaojua kufanya kazi sio wale wanaotaka kufundishwa hadi kuoga
Wiki tatu na unataka awe ameweza kufanya kila kitu? Nyie ndiyo mnatumikisha wasichana wa kazi kama punda.
Haya ya kufua tena vitambaa mapya. Unashindwa kumnunulia pads? Unaona mapungufu yako yanavyoanza kujitokeza? Na pengine katika kumfundisha unatumia lugha kali au maelezo yako siyo mazuri.
 
Tatizo Wanawake mnataka house girl afanye kila kitu nyie mbaki kuagiza kama wahindi. Mpe kazi kiasi na nyingine fanya wewe la sivyo ukiendelea kumshurutisha utalia wewe.
Umesema kweli Kuna watu kila kitu dad afanye yaani hapana
 
Mwelekeze majukumu yake anayotakiwa kuyatimiza.

Pili:Mpe uhuru naye wa kunyanduliwa

NB:Utofauti wa mke wako na huyo house girl ni majina tu, na labda kama mkeo amesoma basi kamzidi elimu tu ila house girl Wana mbususu tamu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nyie vijana ni shida sana
 
Umezaliwa wapi? Tanzania ni kubwa sana na ina makabila na watu wenye background tofauti. Yes, hata kuoga na kupiga mswaki kuna wengine hawajui, tena ni watu wazima. Kama hutaki hizi ''karaha'' basi fanya background check ya uhakika kabla hujamchukuwa.
 
Kila mtu ana kitu chake alichozoea kujistiri nacho katika ada kama unamuhitaji nikupe namba za wazazi wake ukawasaidie kumlea na kumfanyia hayo niliyoshindwa kuyatekeleza
Simhitaji ila hapa ni katika kujadili na kuambizana. Watu wana background tofauti na uelewa tofauti. Ukilijua hili hutalaumu tena msichana anaposhindwa kufanya utakavyo baada ya kumpa mafunzo ya wiki tatu.
 
Nimezaliwa kijijini kabisa misungwi ndani ndani ila miswaki tunapiga sana hata miti,na madodoki ya kuchuma tunatumia. Huko ulikozaliwa wasipojua kuoga ni wapi mkuu?

Wa kuagiza utafanya background muda gani,mtu upo dar unaambiwa kuna dada wa kazi songea utapataje muda wa kuchunguza
 
yani kazi hafanyi na anashinda na simu bbdo mpo nae humo ndani?.mna uvumilivu wa hali ya juu
 
Wewe mfundishe tabia nzuri. Usimuulize kwa nini hana tabia nzuri.
Mfundishe tabia nzuri kama mwalimu alivyokufundisha hisabati. Hakukuuliza kwa nini hujui hisabati.
 
Basi kuna sehemu hawaogi mara kwa mara. Kwa mwaka wanaweza kuoga mara nne tu.
 
 
Umewahi kuwa na dada wa kazi? Vinginevyo usichangie kitu usichokijua
 
Kwa maelezo yako huyo mdada anafanana na mmalawi mmoja ambaye tulikuwa naye lkn alishaondoka. Muda wote anaongea na cm na anajua kupika ugali tu. Kwakweli wadada wa kazi kwasasa Ni changamoto.
 

Fukuza huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…