Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.
Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.
Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule! Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).
Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.
Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.