Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.

Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.

Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule! Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).

Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.

Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akili nywele!!!!!Bro kafanye comedy🤣🤣🤣Umetisha na hiyo title ya uzi wako
 
Mtume Paulo anasema ninachotaka kukifanya sikifanyi, lakini nisichotaka kukifanya ndicho nikifanyacho...lazima ujue kila mtu anadhambi'imzingayo kwa wepesi' kitu kikubwa ni USIACHE KUOMBA Toba na maombi mengine wewe jikokote tuhuitaji kutumia nguvu Sana kunakitabu ni kina madini makali Sana jinsi ya kuushinda mwili

sex is not the problem lust is joshua harris

Tenzi za Rohoni 58

Mwamba Wenye Imara

Kwa kazi zote pia
Sitimizi sheria
Nijapo fanyabidii
Nikilia na kudhii
Hayaishi makosa
Ndiwe wa kuokoa
Ahsante Sana mkuu
 
'Dhambi ya UASHERATI ndio itanipeleka motoni' ushajitabiria unaenda motoni sisi tutakusaidia Nini hapo?
 
Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.

Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.

Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule! Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).

Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.

Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
Mimi matiti ndyo yananimaliza
 
Ukikua utaacha
 
Kwenye romance UKIPATA kama hii IBONYEZE mpaka uchoke usichezee nafasi.
Screenshot_20230125-222524.jpg
 
Watu wapumbavu Kama nyie Mnabidi kukaa kimya tu sasa ngono ukifanya unapata faida gani zaidi ya uchafu !
Vidume tumeombwa kutamani mkuu wanawake wanatakiwa wajisitiri ili tusiendelee kutamani maana wao ndio visababishi kwani wakijisitiri na nguo za heshima watapunguziwa na nn?
 
Back
Top Bottom