Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.

Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.

Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule!

Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).

Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.

Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
Mchungaji naye ni mgongaji kama wewe.

Achana na ushamba wa kizamani wa wazungu kuungama kwa mwanadamu mwenzio.

Fanya mambo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchumba wako na wewe kitu mlichokosa ni maarifa.
Mimi hata siku moja siwezi kuhubiri kwa kukaripia (kuhukumu) waumini. Ni dhambi kubwa. Watumishi wanapaswa kuonyeshwa namna ya mtu anavyoweza kuzishinda dhambi mbalimbali na si kukemea huku mijasho inawatoka na sadaka zao anakwenda kununua kuku na kupeleka watoto shule za international
Dhambi huishindi kwa kujitesa kuacha kula miezi 4 hivyo.
Mimi nikifunga siku tatu tu tena masaa 12 kwa siku nikikutana na mtu mwenye pepo lazima aanguke au akimbie mwenyewe. Sasa siku 120 ulizofunga si ungeweza hata kutembea juu ya maji kabisa.
Tumia hatua hizi utakuja kunikumbuka
1. Kaa jifungie mahali angalau masaa mawili kwa siku ndani ya siku 5 mfululizo. Huko sirini(chumbani kwako) weka nyimbo za kuabudu kwa simu au radio yako kisha uwe unafuatisha au unaabudu pamoja na mwimbaji.
Sio lazima kufunga. Huna cha kumpa Mungu zaidi ya sifa na ibada safi.
Mungu atakujia mwenyewe na kukupa neema ya kushinda dhambi hiyo.
Dhambi ya uzinzi ni silaha ya mwisho ya Ibilisi kwa watumishi wa Mungu .
Hata wachungaji na maaskofu wengi unaowafahamu ni wazinzi sema tu hawana wa kumwambia ili wasaidiwe.
Ukifanya jambo hili ndani ya siku 5 bila mafanikio njoo pm nikupe njia nyingine.
 
What you do doesnt work. Stop it. You are trying to treat the symptoms not the cause.
 
Ukimpata mwenye makalio ukalala nae mara 2 tu hamu imekwisha kifuatacha ni stress na depression za kugongewa, muda wote unawaza huko aliko kuna kidume kinampanua makalio
 
Mchumba wako na wewe kitu mlichokosa ni maarifa.
Mimi hata siku moja siwezi kuhubiri kwa kukaripia (kuhukumu) waumini. Ni dhambi kubwa. Watumishi wanapaswa kuonyeshwa namna ya mtu anavyoweza kuzishinda dhambi mbalimbali na si kukemea huku mijasho inawatoka na sadaka zao anakwenda kununua kuku na kupeleka watoto shule za international
Dhambi huishindi kwa kujitesa kuacha kula miezi 4 hivyo.
Mimi nikifunga siku tatu tu tena masaa 12 kwa siku nikikutana na mtu mwenye pepo lazima aanguke au akimbie mwenyewe. Sasa siku 120 ulizofunga si ungeweza hata kutembea juu ya maji kabisa.
Tumia hatua hizi utakuja kunikumbuka
1. Kaa jifungie mahali angalau masaa mawili kwa siku ndani ya siku 5 mfululizo. Huko sirini(chumbani kwako) weka nyimbo za kuabudu kwa simu au radio yako kisha uwe unafuatisha au unaabudu pamoja na mwimbaji.
Sio lazima kufunga. Huna cha kumpa Mungu zaidi ya sifa na ibada safi.
Mungu atakujia mwenyewe na kukupa neema ya kushinda dhambi hiyo.
Dhambi ya uzinzi ni silaha ya mwisho ya Ibilisi kwa watumishi wa Mungu .
Hata wachungaji na maaskofu wengi unaowafahamu ni wazinzi sema tu hawana wa kumwambia ili wasaidiwe.
Ukifanya jambo hili ndani ya siku 5 bila mafanikio njoo pm nikupe njia nyingine.
Nashukuru Sana mkuu. Pia nikitanikiwa nitakupa mrejesho
 
Mtume Paulo anasema ninachotaka kukifanya sikifanyi, lakini nisichotaka kukifanya ndicho nikifanyacho...lazima ujue kila mtu anadhambi'imzingayo kwa wepesi' kitu kikubwa ni USIACHE KUOMBA Toba na maombi mengine wewe jikokote tuhuitaji kutumia nguvu Sana kunakitabu ni kina madini makali Sana jinsi ya kuushinda mwili

sex is not the problem lust is joshua harris

Tenzi za Rohoni 58

Mwamba Wenye Imara

Kwa kazi zote pia
Sitimizi sheria
Nijapo fanyabidii
Nikilia na kudhii
Hayaishi makosa
Ndiwe wa kuokoa
 
Back
Top Bottom