Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri.Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.
Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.
Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule! Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).
Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.
Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
Hivi unadhani kwanini Mungu aliwapa wanawake makalio ya kuvutia? huna baya huo ndio uanaume piga show kijanaNaweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel.
Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio.
Nilifanya maombi ya kufunga siku 120 lakini wiki moja baadae akaibuka mrembo niliyemtongozaga na kunikatalia kwa muda mrefu, akaja mwenyewe ghetto nikamgonga, baada ya bao moja ndipo akili ikanirudia na kugundua kuwa nimeingia kwenye mtego ule ule! Huwa Nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God(TAG).
Nilimshirikisha Mchungaji wangu akaishia kunigombeza na kudai kwamba sijaokoka na siku nikiokoka automatikale nitaishinda zinaa.
Naomba ushauri labda kuna mbinu za kuondokana na suala hili.
Kweli kakosea kujihukumu yeye mwenyeweAu nimekosea mkuu?
Sasa itakuwaje 🤔kijana usijione mkosefu peke yako..kwenye suala la makalio wengi tunafeli
🤣🤣🤣🤣🖖🏾Kumcha Mungu ni kutimiza mapenzi yake. Alikuumba uvutiwe na makalio, na mapenzi yake yatimie, mkuu. Hizi mambo haziko complicated hivyo.
Miaka 43 bila kuzini🤔🤔🤔Ushauri.
Kwanza tubu dhambi zako na kumwomba Mungu akupe msaada
Pili: Akikisha umejazwa roho wa Mungu huyo ndiye atakuwezesha kushinda.
Kwa kweli dhambi ya uzinzi na uasherati bila msaada wa Mungu huwezi kuishinda. Niliokoka nikiwa form two almost 43 yrs ago. Na sijawahi kulala na mwanamke yeyote zaidi ya mke wangu. Majaribu ni mengi sana especially kazi yangu ni ya kuzunguka sana lakini kusema ukweli Mungu amenishindia. Vijana wengi tuliokokoa nao baadaye walishindwa na kuangushwa na wanawake. Makanisani nako wamejaa sana. Juzi tumeletewa kesi na mwanamke akidai mchungaji kutoka one of our branch amezini naye na amemwambukiza ukimwi. Just imagine Mchungaji anafanya huo uchafu na anakwenda madhabauni kufundisha. Mtu kama huyo usitegemee msaada wowote. Ndiyo ujue hii dhambi hata watumishi inawashinda. Shetani amejua udhaifu wa wanaume ndiyo maana huko makinisani amewajaza wanawake wazinzi na wanaovaa vibaya ili kuwashika wakristo wachache waliosimama. Watu wanasema wakristo wanavaa vibaya lakini kwa taarifa yako wale ni watumishi wa shetani. Mkiristo wa kweli anavaa nguo za heshima. Anyway Christianity is not an easy way need a lot of sacrifice in order to live a Holy life. Kuna siku nilifikiri that was an end of my Christanity lakini Mungu akanitia Nguvu.
Niakusihi usikate tamaa endelea kumwomba Mungu. He is there to help anyone who come to Him faithfully.
Haya Ni mapepo maovu Siyo bure🤨Hivi unadhani kwanini Mungu aliwapa wanawake makalio ya kuvutia? huna baya huo ndio uanaume piga show kijana
Ondoa kwanza picha uloweka kichwani kwamba mwanamke mwenye trako linaloendana na picha ulonayo kichwani ndiye mzuri.Sijaoa. Lakini Nadhani kuoa hakutonisaidia kwani hata waliooa wanachepuka
Hii mbinu lazima niijaribu😅😅😅step 1; KUWA BAHILI
hakuna mtu atakupenda kama unalialia shida kila siku
Sawa ahsante mkuuOndoa kwanza picha uloweka kichwani kwamba mwanamke mwenye trako linaloendana na picha ulonayo kichwani ndiye mzuri.
Pili weka picha mpya kwamba wanawake wa aina hiyo sio wazuri. Taratibu utaanza kuwaona hawafai
Mkuu unaichukia sana ngono. Why?Watu wapumbavu Kama nyie Mnabidi kukaa kimya tu sasa ngono ukifanya unapata faida gani zaidi ya uchafu !
Extrovert hii ni too much[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
Sindio mambo mpendayo vijanaExtrovert hii ni too much[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]