Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wnaokaa/ojua ya zanzibar wachache sana humuHabari wanaJamiiForums!
Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi.
Kuna ile maarif ya Kidimni , Zanzibar zipo mbili.Mazingira ya shule ni mazuri. Zamani ilikuwa inaitwa SOS moja katika skuli za Hamarn Mainer...sina uhakika na spelling za hilo jina. Ipo maeneo ya Mombasa
Kuhusu fees sina uhakika sana lkn fees zao ndefu kiasi.
Angalia Google utapata pengine hata contacts zao. Pia unaweza kuangalia results zao kupitia necta utajiridhisha vp wanapasisha
View attachment 3176016