Mazingira ya shule ni mazuri. Zamani ilikuwa inaitwa SOS moja katika skuli za Hamarn Mainer...sina uhakika na spelling za hilo jina. Ipo maeneo ya Mombasa
Kuhusu fees sina uhakika sana lkn fees zao ndefu kiasi.
Angalia Google utapata pengine hata contacts zao. Pia unaweza kuangalia results zao kupitia necta utajiridhisha vp wanapasisha
View attachment 3176016