Hii maana yake ni ndoa bado ipo, mlitenganaje, kifamilia, ustawi wa jamii or?
Sio anakutishia but he must have a good reasons. Mwanaume msomi Engineer alikupenda mwanamke wa kawaida, akakupa kila kitu, akakuoa. Unakijua kilichotokea, hapa sii mahali pake!. Ni kufuatia kilichotokea Baba watoto wako anawependa wanae na ana uwezo wa kuwalea vizuri kuliko mama yao, hivyo akijenga hoja valid kuwa mama yao ana maisha gani, baba anapewa wanae. Hiyo huta waona tena ni hasira tuu ya ulichomtenda, anataka kuwatumia watoto kama fimbo ya kukuchapia!.
Yes ukienda mahakamani utapata haki yako ikiwa ni pamoja na kunyanganywa watoto kutokana na kuishi maisha yasiyoeleweka.
Wanaangalia unaishije na unaweza kuletea vema kuliko baba yao?.
Mama mpika vitafunwa mashuleni, huna kipato cha kuwalea vizuri watoto wa Engineer, hivyo amegundua unawatumia watoto ili kuvuta child support na kuegemea hapo.
Msaada mkubwa wa kwanza ni Baba watoto wako anakupenda sana na anawapenda sana watoto wake, hataki wateseke na mama muuza vitafunwa asubuhi halafu usiku... hivyo ameona awaokoe wanae!. Msaada mkubwa wa kwanza ni jishushe omba msamaha mnurudiane, mwambie kilichotokea kati yenu ni shetani tuu alikupitia!. Wanaume tukipenda tunasamehe na amini usiamini utakuwa ni one of the best wife material!.
Pole sana, mimi ni baba niliyopitia hayo aliyopitia mwenzangu, niliwachukua watoto mkubwa akiwa 4 years na mdogo 2 years!. Niliwalea mwenyewe for 10 good years ndio nikaamua kusamehe!.
Usiwatumie watoto kama means ya kuvuta child support, jishushe omba msamaha, atakusamehe na mtalea watoto wenu kwa amani. Sisi wanaume tukipenda ni wajinga sana!, mimi nilipenda nimekufa nimeoza, alikuwa ananirudia asubuhi na bado nampenda. Mimi humu ni Mwalimu wa kupenda nimewafundisha wanaume humu kupenda
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!
P