Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unastahili Pole mkuu.....naumia sana hili mkuu naumia mnoo naipenda familia yangu ila jitihada zote zinashindikana maan aman na watoto sina kutwa kutishiwa ndo maan naenda mahakamani basi mahakama ikiamua mama mpika vitumbua apokonywe watoto nitaridhia sababu sheria imesema ivo
Chochote kile kilichotokea pole.
Jiulize kipi bora Watoto wako walelewe na mumeo au wewe? Wapi unaona watapata mahitaji yote muhimu?
Afya, chakula, malazi, mavazi n.k
Kwanini muwaweke kwenye tabu ambayo hawakuistahili wala kuichagua.
Wapeleke kwa baba yao, wawe wanakuja kukutembelea weekends au wewe kwenda.
Endelea na biashara zako ukuze kipato chako, siku moja na wewe utakuwa mtu.
Kuwapenda watoto sio kuwakumbatia uonekane mpambanaji, kuwapenda ni kuwachagulia kilicho bora kwa manufaa yao.
Unavyoendelea kuwakazania inaonesha unataka pesa ya matumizi ya watoto uipige ( hata kama sio hivyo).