Mkuu kama una tabia kama za ex wangu Mungu anakuona. Ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika na ni jeuri kweli kweli. Mkitengana na mwenza wako kusema kweli maisha hayawi tena 100% sawa hasa kama watoto ni wadogo. Na mbaya zaidi mkianza kukorofishana kwenye mambo ya matumizi, nani akae na watoto, uelewano hakuna.... maisha yanakuwa magumu kweli kweli.alishaenda yeye kudai watoto ustawi naona wamepewa hongo maan wananishaur baba ana haki ya kuwachukua eti watoto ndo maan nikataka kuenda mahakamani
Safi sana. Endelea hivyo hivyo na kuna siku utalipwa mazuri yako. Nilichojifunza kwenye maisha ni kuwa ndoa inapovunjika yule ambaye alikuwa chanzo cha ndoa kuvunjika ataendelea kutangatanga na yule victim atakuja kusimama na kuwa imara.inawezekana ikawa side story ila ningekuwa mbaya ningeweka madhaifu yake au ningesimulia pengine upande wake kwa ubaya zaidi nilichosema haijalishi nani alikuwa mkosefu kwenye ndoa ila tumeachana shida ipo kwann haudumii watoto halaf anataka watoto? anahisi kwamba pesa anayotoa mimi nitaila?? au anawazaje? na mm sio mtu wa starehe nipo nyumban na biasharra zangu sinywi pombe sizururi ovyo nikitoka biashara nazofanya napika home naweka dukani so kwamuda mwingi nipo ndani tu nikitoka jumapil kanisani basi
Ni kweli ni kazi dear ila sio kazi kubwa kama kazi ya kulea watoto wawili kwa kipato cha kuuza mandazi.😳😳😳😳😳😳😳
Duuuuh!! Kazi mnazo!!
Usiwe na wasiwasi hao ni wanao tu milele.hapana sijaolewa
Daah pole sana DadaHabari ipo hivi,
Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu kunipokonya watoto na nikikataa ananitishia kukatiza matunzo.
Jamani naombeni kufahamu endapo nikienda mahakamani nitapata haki zangu ama? Je, mahakamani ni nini wanaangalia? Mimi kwa sasa nafanya biashara napika vitafunwa mashuleni ila baba wa mtoto ni engineer, nisaidieni jamani maana sina amani na wanangu kama nimewaiba jamani wakati nimezaa mwenyewe na ananimbia akiwachukua sitawaona tena.
Nisaidieni jamani yeye anainjoi mimi nateseka na watoto halafu anajifanya anawapenda watoto wakati huduma shida, hivi jamani nifanyaje?
Rule of law Tz?Relax,hao watoto ni wadogo wala hawezi kuwachukua,nchi inaendeshwa kwa rule of law na sio kwa atakavyotaka yeye,hawezi kustop kutoa child support kwa utashi wake tu
Na ndio maana nikamwambia ajishushe kwa mama mkwe wake maana kasema mama ndio alikua mwiba.Unasemaje amewasusa watoto wakati ameomba awalee yeye kiasi cha kwenda kufungua shauri ustawi wa jamii?
Kuna kitu kimejificha katika maelezo yako. Something fishy ...
Yaonekana wewe 'umewang'ang'ania' watoto ili hali huwezi kuwahudumia.
Unatufanya tutamani kuhoji kwanini ndugu wa mume wakukatae hivyo?
Ulimtenda nini huyo mdau? Au ulikuwa na tabia gani kwa mumeo na nduguze?
Samahani kama nimekukwaza.
Another oneHabari ipo hivi,
Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu kunipokonya watoto na nikikataa ananitishia kukatiza matunzo.
Jamani naombeni kufahamu endapo nikienda mahakamani nitapata haki zangu ama? Je, mahakamani ni nini wanaangalia? Mimi kwa sasa nafanya biashara napika vitafunwa mashuleni ila baba wa mtoto ni engineer, nisaidieni jamani maana sina amani na wanangu kama nimewaiba jamani wakati nimezaa mwenyewe na ananimbia akiwachukua sitawaona tena.
Nisaidieni jamani yeye anainjoi mimi nateseka na watoto halafu anajifanya anawapenda watoto wakati huduma shida, hivi jamani nifanyaje?
huyo mume wako ni msomi sn had kufikia hatua hio ina maana kuna jambo kubwa lipo nyuma yakeinawezekana ikawa side story ila ningekuwa mbaya ningeweka madhaifu yake au ningesimulia pengine upande wake kwa ubaya zaidi nilichosema haijalishi nani alikuwa mkosefu kwenye ndoa ila tumeachana shida ipo kwann haudumii watoto halaf anataka watoto? anahisi kwamba pesa anayotoa mimi nitaila?? au anawazaje? na mm sio mtu wa starehe nipo nyumban na biasharra zangu sinywi pombe sizururi ovyo nikitoka biashara nazofanya napika home naweka dukani so kwamuda mwingi nipo ndani tu nikitoka jumapil kanisani basi

Unaweza kuishi na nyoka?Pole lakini kuachana haijawahi kuwa suluhu ya changamoto zinazokabili wanandoa, jitahidini kuweka changamoto zenu kando mlee familia mliyoianzisha kwa pamoja. Kuachana kwenu panaathiri pakubwa hata mustakabali wa watoto wenu wasiokuwa na hatia
Usiwatumie watoto kama kitega uchumi chakoHabari ipo hivi,
Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu kunipokonya watoto na nikikataa ananitishia kukatiza matunzo.
Jamani naombeni kufahamu endapo nikienda mahakamani nitapata haki zangu ama? Je, mahakamani ni nini wanaangalia? Mimi kwa sasa nafanya biashara napika vitafunwa mashuleni ila baba wa mtoto ni engineer, nisaidieni jamani maana sina amani na wanangu kama nimewaiba jamani wakati nimezaa mwenyewe na ananimbia akiwachukua sitawaona tena.
Nisaidieni jamani yeye anainjoi mimi nateseka na watoto halafu anajifanya anawapenda watoto wakati huduma shida, hivi jamani nifanyaje?
Sasa unalazimisha kukaa nanwatoto then unataka yeye ndo awatunze, kama hauwezi kuwatunza waache waende kwa baba yao. And ni stahiki gani unazitaka kwake na yeye atapata stahiki gani kwako.Habari ipo hivi,
Mimi niliolewa ila nilitengana na mwenzangu, tuna watoto wawil. Mmoja miaka mitatu mwingine ana mwaka mmoja, sasa baba yake amekuwa mwiba kwangu ananitishia sana kuhusu kunipokonya watoto na nikikataa ananitishia kukatiza matunzo.
Jamani naombeni kufahamu endapo nikienda mahakamani nitapata haki zangu ama? Je, mahakamani ni nini wanaangalia? Mimi kwa sasa nafanya biashara napika vitafunwa mashuleni ila baba wa mtoto ni engineer, nisaidieni jamani maana sina amani na wanangu kama nimewaiba jamani wakati nimezaa mwenyewe na ananimbia akiwachukua sitawaona tena.
Nisaidieni jamani yeye anainjoi mimi nateseka na watoto halafu anajifanya anawapenda watoto wakati huduma shida, hivi jamani nifanyaje?
Hakuna kitu kinakera kama kulea mtoto peke yako wakati mwenzio uwezo anao, ugomvi wa wazazi halafu baba akakataa kutoa matumizi anayemuumiza ni mtoto wake.Usiwatumie watoto kama kitega uchumi chako
inawezekana ikawa side story ila ningekuwa mbaya ningeweka madhaifu yake au ningesimulia pengine upande wake kwa ubaya zaidi nilichosema haijalishi nani alikuwa mkosefu kwenye ndoa ila tumeachana shida ipo kwann haudumii watoto halaf anataka watoto? anahisi kwamba pesa anayotoa mimi nitaila?? au anawazaje? na mm sio mtu wa starehe nipo nyumban na biasharra zangu sinywi pombe sizururi ovyo nikitoka biashara nazofanya napika home naweka dukani so kwamuda mwingi nipo ndani tu nikitoka jumapil kanisani basi
Hatuwezi kujipendekeza kwa huyu mama dear?
Ujue wamama sometimes wanataka kuonyesha wao ndo final say na wake tunataka kuonesha sisi ndo final say na ukute mwanaume kalelewa na mama yake kwa shida hapo hekima isipotumika mwanaume anakua upande wa mamake.
Ukweli ni kwamba mke ndio ana nguvu kwa mwanaume ila ukiwa na hekima unatakiwa ufanye mama aone yeye ndio mwenye nguvu.
Bado sijakata tamaa.Anza kujipendekeza kwa mama mkwe huyo.Mpelekee wajukuu.
Wape simu wawe wanamsalimia bibi.
Ukiwa kule ongea vitu vizuri kuhusu mwanae.
Ukisikia anaumwa nenda fasta na watoto.
Mnyenyekee hadi ajione King's mother.Kama mwanzo ulikua unaenda nae jino kwa jino halafu sasa akaona unajishusha atajua kuwa sasa ushaelewa kuwa yeye ndio zaidi.
Inaweza ikasaidia.
Jaribu ikishindikana basi wao sio Mungu maisha yasonge.
Why msitoe matumizi na nyie, watoto wakikaa kwa baba zao huwa mnatoa matumiziHakuna kitu kinakera kama kulea mtoto peke yako wakati mwenzio uwezo anao, ugomvi wa wazazi halafu baba akakataa kutoa matumizi anayemuumiza ni mtoto wake.
Wanaume wengi wanafikiria akimpa matumizi mama mtoto wake amemfanya kitega uchumi na anafaidi sana ila trust me kama mngekuwa mnajua jinsi wamama wanavyojitoa kwa watoto wenu hata kama hana uwezo msingefikiria kuumia kutoa hata cent.