Msaada: Naomba nijue stahiki za watoto wangu

Kumpa Hela mwanamke humli ni changamoto.
 
sawa Mungu mtu
 
Acha ubinafsi kama huwezi kuwapa huduma muachie awalee usiwang"ang'anie badae wakushinde wawe machokoraa alaf uanze kuwalisha chuki kuwa baba yao aliwakataa
 
Why msitoe matumizi na nyie, watoto wakikaa kwa baba zao huwa mnatoa matumizi
Mimi mtoto wangu kama akikaa na baba yake akalelewa na mama yake ( mke wa baba yake) nitasapoti matumizi ya mtoto. Ila sio kumchukua sijui ampeleke kwa bibi yake sijui shangazi wa mamdogo
 
Umeongea vyema sana mkuu.
Na wengine ukijishusha sana ndio kama unawafukuza.
Ingekua mimi ningebaki na wanangu nipambane kijeshi.
 
Hivi mwanamke ukibeba mimba huwa mnasema mimba ni ya nani vile?, Ukizaa mtoto unaita ubini wa nani vile. How comes mtoto ulazimishe kuishi naye wakati mtoto sio wako ni wa mume wako
mtoto siku zote ni wamama kuwaba ubini ni sheria na taratib zilivyo sio kwamba eti kisa ubini wako mtoto wa baba sio kwel aliyomzaa ndo mwenye mtoto[emoji23]
 
Bado mnapendana nyie na ninawaombea mrudiane muweze kuitunza familia yenu takatifu.
 
sawa Mungu mtu
huyu baba hajawahi nihudumia labla nikusaidie na alikuwa anatoa laki 2 tu asa nikuulize ww io laki mbili watoto wawil wote wanavaa pampars wanakunywa selelak wanakunywa maziwa bado vyakula bado naul za hosp hiv ww io laki mbili mm napata nn labla? afu usichokijua wamama tuko radhi wanetu waenjoy sisi tuteseke siwez tumia pesa ya mtoto akat mtoto hana mahitaji na iyo uyo mwanaume analofaham ilo hakuwah nihudumia kwenye ndoa sembuse tumeachana?? samahani sana usimjudge mtu kwa mitandao na humjui au hujui nini chanzo
 
yeye anataka ampeleke kwa mamaak maan babaake hajaoa bado
Sijui huyo bibi yupo vipi ila ushauri wangu kama mama, usikubali mtoto alelewe na bibi komaa mlee wenyewe. Ukiachana na majukumu yake huyo bibi anatakiwa apumzike sasa sio kupelekewa wajukuu aanze kulea, wajukuu waende kwake likizo kucheza nae sio kuanza kulea.
Na sio kila bibi atawapenda wajukuu zake awalee vizuri. Ila kama mume kaoa na mke wake anajitambua watoto wakifika umri waache wakakae kwa baba yao. Kwa sasa angalieni namna ya kulea watoto na mume wako bila kulumbana wala magomvi.
 
Mpenzi kama anaweza kutoa hiyo laki 2 ridhika nayo hiyo hoyo na ujibane upya katika matumizi yako ya mwezi mzima usitake mlumbane akuongeze zaidi maana ustawi au mahakamani utapata ndogo zaidi.

Cha kufanya achana na selelaki wasagie unga wa lishe itakusaidia zaidi, kama ni pampas wavalishe usiku wanavyolala au mnavyotoka ila mkishinda nyumbani wasivae pampas huyo wa miaka 3 ni mkubwa sana atumie pot sasa. Matumizi yasiyo ya muhimu achana nayo mpaka pale utakapokuwa umejitafuta wewe mwenyewe. Kama ni vyakula nunua vya jumla weka ndani
 
wanawake wenye kiburi na masingle mother mnavuruka sana hatima za maisha ya watoto wenu bila ninyi kujua. mtoto asiyelelewa na wote baba na mama huwa anamiss kitu kikubwa sana.
 
alikuwa anatoa zaman sahv kaacha na miez 7 nalea mwenyewe kanisusua kasema wakikua watamtafuta
 
P, UMETISHA SANA MWAMBA................ Hili eneo upo vizuri sana .........Big-Up Bro...!!!
 
Aisee
Umejibu kiboya sana, kwa kuendeshwa na jazba ya yaliyokukuta, hapa inaonyesha haufai kuwa katika nafasi ya uwajibikaji kwa kuwa na akiili ya kukurupuka
Sasa wewe si umesoma sheria, badala ya kumpa ushauri wa kisheria unabaki kuomba msamaha
Anyway, sheria za hako kaanchi ni za kijima, hazitamsaidia sana, lakini zinaweza kumpa haki yake kama mama mzazi, toa ushauri wa kisheria hapa
 
yeye anataka ampeleke kwa mamaak maan babaake hajaoa bado
Wanawake mlivyo wengi, na kuolewa ilivyo dili, na mapenzi yalivyo Kiti cha basi, unaposhuka, anakaa mwenzio, ukiona mmeachana na huyo mwanaume bado hajavuta kitu, ujue anakupenda na anawapenda watoto wake, ni kiburi tuu cha male chauvinism asionekane dhaifu, jishushe, atakurudia muendelee kulea vema hao malaika wa Mungu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…