Msaada: Naombeni mnifunze ku - multi Quote

KWANZA BONYEZA NENO QUOTE KISHA REPLY KWA KUFATA HATUA ZA PICHAN

Fanya kama nilivyofanya hivyo pichan
IMG_20180119_172326.jpg

Nilipoipost ikawa hivi
IMG_20180119_172355.jpg

Mm mnona inakataa nielekeze plz...
 
Ndio imewezekana, kama inaonekana kwenye post yangu iliyopita
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.

Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.

Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.

Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa
 
Ahaaa! Sikuelewa vizuri shida yake...nashukuru umenielewesha. Ila sidhani kama ni ngumu kiiivyo[emoji16]
 
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.

Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.
(/QUOTE)
Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.
[/QUOTE)
Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa
]
 
Back
Top Bottom