Msaada: Naombeni mnifunze ku - multi Quote

Msaada: Naombeni mnifunze ku - multi Quote

Inabidi uwe na simu ya kitochi mkuu unamulikia zile post unazotaka ku-quote
 
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.

Inavyotakiwa na nani
Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.
ndo staili yangu hiyo
Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.
kama hivi
Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa
Ziko wapi

Hayo ni majaribio tu mkuu.
 
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.
Inatakiwaje mkuu
Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.
Inatakiwa uquote za watu wangapi?
Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.
Kumbee ngoja nifanye hivyo
Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa
Nimeona na nimefanya namna hivyo
 
Back
Top Bottom