kuna hospital wanaangalia zote ipo hapo gongolambotoShida ya hospitali wana rely kwenye kipimo cha hormone tu ikiwa sawa basi wanasema katulize akili mara psychology sidhani kama kuna specialist anaweza cheki mfumo wa mzunguko wa damu na mfumo wa nerve hospitali unapoteza hela tu wengine wanacheki mpaka sperm analysisi utadhani umewaambia hauwezi zalisha.
inaitwajekuna hospital wanaangalia zote ipo hapo gongolamboto
Kitonka, ukifka waambie namtaka doctor wa magonjwa ya mkojo atakupima hormone na mfumo wa damu wa mashneinaitwaje
Bora hapo kwingine ni shida wanapima kitu kimoja tuKitonka, ukifka waambie namtaka doctor wa magonjwa ya mkojo atakupima hormone na mfumo wa damu wa mashne
Achana na mitishamba na madawa yenye sumu. Tumia stemcells. Jenga seli zako.za maeneo kwanza ndipo dawa zirakusaidia. Wasiliana na daktari aliyenipa stemcells mimi. 0699254400.Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndio hali yazidi kuwa mbaya.
Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana lakini mpaka sasa nisha kuwa dhaifu hata niliona mazingira ya mwanamke haisimami.
Naombeni msaada jamani nateseka sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
stemcell ni takataka.Achana na mitishamba na madawa yenye sumu. Tumia stemcells. Jenga seli zako.za maeneo kwanza ndipo dawa zirakusaidia. Wasiliana na daktari aliyenipa stemcells mimi. 0699254400.
Nilifnyaga kosa lako kidogo niwe mgumba
Zinasaidia nini na zinatumikaje??Achana na mitishamba na madawa yenye sumu. Tumia stemcells. Jenga seli zako.za maeneo kwanza ndipo dawa zirakusaidia. Wasiliana na daktari aliyenipa stemcells mimi. 0699254400.
Nilifnyaga kosa lako kidogo niwe mgumba
Umemshauri vyema ila hapo kwenye uanachama siafki ....Maelezo hayajitoshelezi !
Haisimami kabisa ama haina nguvu ?
Ni mwanachama wa chaputa ? If yes acha kabisa!
Una mwanamke/Dem/mchumba ?
Kama unae, usishiriki nae,
Kula vizuri, fanya mazoezi Kama mwezi halafu tafuta mwanamke Malaya wa kununua, fanya nae, huyo hata usipoperfom Hana habari yeye anaangalia hela, huko kwa Malaya ndio utapata confidence, ukikaa sAwa Rudi kwa mtu wako !
Naona Ni psychology tu, una hofu kwamba ukifeli utaaibika ! Pole mkuu
Mbona kama sumu hii mkuuChukua asali robo weka punje 10 za kitunguu kama nusu ya kitunguu maji tia humo changanya hapo tangawizi tia MDALASI VIJIKO VIWILI kunywa vijiko viwili asubuhi na usiku UTAKUJA KUNISHUKURU unaweza kumla hadi akashindwa kutembea.
Utaishi na hela milele 😥😥😥Hela unazo? Kama ndio basi ndo nguvu zenyewe hizo mkuu
Sina hayo magonjwa ndgUna umri gani? Una magonjwa yeyote ya kudumu kama kisukari na presha?
Umri wako ni miaka mingapi? najaribu kutafuta nione tatizo kama ni physical au psychological.Sina hayo magonjwa ndg
Kipi sumu hapo thibitisha,
Hahahaahhahhahaahha dahHaisimami kabisa au unawahi kumleta Dejan?