Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Sasa utayakwepaje matusi hapa wakati mada yenyewe ni ya matusi.
 
Sasa hiyo ni fursa nzuri sana kwake, afungue ofisi na awe anahudumia wadada wenye pesa zao tu. Hapo atatumia sana uwezo aliojaliwa huku analipwa na pesa za kutosha na hao hao wadada. Hivyo nguvu zake zitatumika sambamba na kukua kwa uchumi wake
 
Sasa hiyo ni fursa nzuri sana kwake, afungue ofisi na awe anahudumia wadada wenye pesa zao tu. Hapo atatumia sana uwezo aliojaliwa huku analipwa na pesa za kutosha na hao hao wadada. Hivyo nguvu zake zitatumika sambamba kukua kwa uchumi wake
Teteteteee......Duuuuh ntamueleza na hilo
 
Kuna dawa inaitwa ratex.inapatikana madukani.nunua mkorogee na maji MPE anywe.ila usisahau kukaa na maziwa karibu.all the best
 
Mwambie atumie cimetidine 400mg kila baada ya masaa 12 kila siku kwa mwezi mzima
 
Kuna dawa inaitwa ratex.inapatikana madukani.nunua mkorogee na maji MPE anywe.ila usisahau kukaa na maziwa karibu.all the best
Ratex???... maziwa na dozi wapi na wapi...ila hiyo dawa??? ..hebu ngoja niulizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…