Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Embu tengeneza urafiki na wasomali wa Kenya.
Watakupa kipande haraka maana hao jamaa mwezi mmoja tu, mtu katika Somalia na kapewa kipande.

Kabila lako Liwe mijikenda
Sasa mm sio Msomali kaka mm nimetoka tanga Tanzania
 
Intelligent businessman Liverpool VPN njooni mtoe maneno ya mwisho kwa huyu kijana mpotevu.
bila connection na elimu inayo eleweka, Kenya sio parahisi Kama anavyo dhani.

maisha ni ya ghali na magumu kidogo, nawa jua wakenya baadhi wali toka kule kuja kwetu na wame tusua vizuri.

ali sema "what it takes you 5 years to do I'm kenya, may take you one or two years to achieve it in Tanzania"
 
Duh!, kjana wangu umekuwa mshamba wa mbususu namna iyo. Anyway nitalifikisha kwa mwenyekiti Tundu lissu
 
Mm niko sawa hata nimeshanunua plot kaka kiufup mm kenya ni better kwangu kuliko Tanzania 🇹🇿
 
Nilichogundua hapa ndoa yako inaonyesha bado mpya mpya,welcome to the world...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…