Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

shida ni mbegu zake, dogo omba Mungu. kwasababu nijuavyo mimi hata tone tu la mbegu linatungisha mimba, hata ukijifutia taulo ambalo mwanaume wamepangusia mbegu kitu kinaweza kuitika. sembuze hizo zinazotiririka afu na mabaki yanabaki ndani? kwani zinatoka kwa kukwanguka kabisa? si mabaki kibao yanabaki kule ndani?

cha kumuelewesha tu huyu dogo ni kwamba, mwanamke yeyote akifika kileleni uchi wake kwa ndani huwa unafutuka kwa nje, kiasi kwamba kama mashine ipo ndani utahisi kabisa uchi unaisukumia nje, na ndio wakati huo utasukuma na mbegu. naongelea ile pure orgasm, sio hizo za kibongo. kwa wanawake walioexperience squirting wanaelewa hili.
Mkuu unajua kila mwanamke huwa anarudisha mbegu. Na unajua tatizo liko kwa mke wa jamaa?
Na una uhakika gani akifanya nilivyomshauri haitamsaidia?
 
Ingawa mimi sio daktari na wala sina diploma ila inaonesha una watery semen ambayo pia inasababishwa na low sperm count (mbegu chini ya 15,000,000 kwa kila milliliter).

Jaribu kuthibitisha kwa kumtombea mezani kwa staili ya kusimama hivi, ukishamaliza chomoa kisha chungulia. Je zinatoka kwa kuchuruzika kama maji?

Mwone daktari.
 
Namaanisha tukiwa tumemaliza kusex mke wangu na mimi tunakuwa tumetengana huwa nakaa mbele ya miguu yake nikiwa ulelekeo wa miguu ya kitanda ambapo ni rahisi kwangu kumuona uke wake kwa kuwa huwa anakunja miguu baada ya tendo sasa ni kama sekunde kadhaa hupita tangu tumemaliza then naona maji maji meupe/rangi ya maziwa yakitoka nje so sina experience sana na hii elimu je yaweza kuwa mbegu zinarudisha/discharge? Au ni maji yake tu je kuna athari zozote
Huenda ni magonjwa ya zinaa yanamtesa.
 
Ingawa mimi sio daktari na wala sina diploma ila inaonesha una watery semen ambayo pia inasababishwa na low sperm count (mbegu chini ya 15,000,000 kwa kila milliliter).

Jaribu kuthibitisha kwa kumtombea mezani kwa staili ya kusimama hivi, ukishamaliza chomoa kisha chungulia. Je zinatoka kwa kuchuruzika kama maji?

Mwone daktari.
Mkuu hii 15 milioni umeitoa wapi?
 
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa

Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
[/QUOTE

Hakuna mahusiano na mbegu kutoka, haziendagi huko ndani zikakaa, lazima zitoke
 
Ni kawaida kitaalamu semen huwa zina sifa ya Ku Liquify kutoka katika Ile Hali yake ya kuwa nzito Hadi kuwa ute mwepesi kabisa ili kuweza kusaidia zile spermatozoa ku swim kirahisi kulielekea yai.

Kwa hiyo katika Ile Hali ya Ku Liquify zinaweza zikatoka nje ya uke na sio zote zinazotoka Ila kama imekuwa kero basi baada ya tendo ajaribu kukaa posture ambayo semen haziwezi kutoka Kwa wingi, kama kubana miguu, kuepuka kusimama immediately baada ya show nk.

Haina madhara yoyote
 
Manii kutoka nje ni sawa kwakuwa zinafuata gravity, hakuna storage ya mbegu ndani uzazi wa mwanamke zitakaaje ndani?, na zilizoingia zinatosha kuzalisha, nazo zinakuwa katika mamilioni. Kama hashiki mimba ni kwenda kucheki masuala mengine ya kiafya , hakuhusiani na semen kutoka nje, maana semen hutoka nje anyway.
 
Pole sana rafiki,

Hiyo ni hali ya kawaida kabisaa manii huwa haziingii zote, na manii huwa inakuwa nzito kila muda unavyokwenda inabadilika na kuwa nyepesi na ndio maana unaona inarudi.

Kuhusu kutopata mtoto hili ni jambo la lingine, haliusiani na manii kutoka nje. Kila mwanamke baaada ya tendo anatakiwa aweke kitambaa ktk uke wake ili kuzuiya manii isimwagike ndio maana mwanmke akijua anaenda kufanya tendo mbali na home na anarudi home baada ya tendo kuna wengine hubeba pedi maana manii inaweza kuchukua mpaka dk 40 inawa inatoka taratibu, pole kwa majibu ya hovyo
 
Mkuu hii 15 milioni umeitoa wapi?
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani unatakiwa utoe sperm angalau kuanzia 15,000,000 na kuendelea kwa kila mililita. Ukitoa chini ya hapo unakuwa kwenye kundi la low sperm count.

Mimi sio mtaalam ila ndivyo nilivyosoma kwenye machapisho mbalimbali.
Huyo mtoa mada nahisi sperm zake ni majimaji sana, so zinachuruzika haraka kuliko watu wengine. Kwa hiyo akichomoa tu zinamwagika pwaa.
 
Itakua unapo mwaga unamwaga kwenye vulva,ndio mana nyingi zinatoka nje,by the way lazima zitoke mana k ni shimo sio bakuri,chamsingi hakikisha unapo mwaga iwe deep penetration,usichomoe skilizia hata dkk 5.
 
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa

Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
Uke wa mwanamke huwa unaongezeka urefu na kuwa mfupi.

Unakuwa mfupi anapokuwa hana nyege. Unaongezeka akiwa na nyege.

So inawezekana humwandai vixuri matokeo yake uke unakuwa mfupi so mbegu zitatoka nje. Afu kutoka nje kwa mbegu haimaanishi kuwa nyingine haxiendi ndani zinaenda kama kawaida.

Sababu ya pili yawezekana unamwaga shawaha nyingi kiasi kwamba kipochi kinajaa so lazima zimwagike. Kwa hiyo wewe sasa utaamua ni sababu ipi kati ya hizi inafanya hilo litokee.

Nikutakie kazi njema.
 
Back
Top Bottom