Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

(@)Mama D ni kweli kabisa kwa ugonjwa aliokuwa nao alihitaji faraja sana hasa kuanzia watu wa karibu anaoishi nao (wauguzi) pia na watu wenye kufatilia kila hali anayoipata hasa wakati analalamika kuhusu kero za dawa.

Alionekana hakuwa na watu makini wanao mzunguka zaidi ya kupata ushauri hapa JF ila kama kawaida baadhi ya member humu wameweka utoto na utani kwenye matatizo ya watu.

Wengi wao utakuta hawajawahi kukumbana na matatizo ya kuugua au kuuguza wakaona hali halisi ya muombaji ushauri (msaada). Tabia hii ya ku beza matatizo ya watu ife waungwana ni bora kukaa kmya kuliko kujimwambafai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takribani watu wote tuna latent TB, so ukiona dalili zinaanza kujitokeza jua sasa upo stage mbovu.

Pole kwake kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya milele umpe eee bwana na mwanga wa milele umwangazie
 
Mmmmh, nimekosa hata cha kuandika....... Humu huwa tuna utani mwingi sana. Nafikiri tuanze kuchukulia vitu serious, kuna watu kweli wanakuwa na shida, msaada mkubwa wanahitaji kwetu. Sikuona Uzi, ila najisikia kutubu kabisa!
 
Last seen yake ni 7.18pm Saturday 4th January 2020. Hivyo hayupo online.
Huenda mambo ya JF App ya kwenye smart phone.
Hii ni kama maswali ya kuoneka ID ya Ben ilikuwa hewani miezi kadhaa baada ya kupotea.
Ukitumia web browser inaonesha muda sahihi wa last seen.
 
Sure. Watu wengi sana wanaupweke na Faraja yao kubwa wanaipata hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPWA RIP
D INAUMA SANA KILA.NAFSI ITAONJA MAUTI SIO KWA HARAKA HIVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…