From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Brother ujana na kufahamiana na madem wa kijapan. Story ndefu kaka, mpaka dem alihama kwao tukawa tunatunaishi wote baada ya kufika Japan.Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.
Bado unaishi huko?
No brother siishi huko. Nipo bongo long time. Nakumbuka tulikuwa tunakimbiza madem na Dr. Bingwa wa rais awamu fulani. So interesting.Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.
Bado unaishi huko?
Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,Hivi Namibia kuna kitu gani cha maana kinawapa hadhi hivyo?
No brother siishi huko. Nipo bongo long time. Nakumbuka tulikuwa tunakimbiza madem na Dr. Bingwa wa rais awamu fulani. So interesting.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Nini???3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Ulipiga miaka mingapi???Jon Stephano aka Copenhagen. Nilishayapitia hayo maisha. Nilipiga kazi kwenye viwanda vya kutengeneza vitabu kule Japan. Dah! Unapiga mzigo kwenye mashine na ukikosea taa ya kumulimuli inawaka kwako, halafu watu wote wanabaki kukushangaa.
Vibibi vizee, vinapiga kazi mpaka unaona aibu. Halafu anakuja boss mkuu anaanza kuokota makaratasi yaliyodondoka chini. Wajapani bwana. Dah hayo maisha.
Tunakushanya hela kwa bidii halafu tunaenda kushindana na wanaigeria kufukuzia madem. Hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwagaMkuu,so unashauri niende nchi gani??
Noma
Vipi kazi za box kule???Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,
Kule ukizaa kilema unalipwa,mzee analipwa,yaan wa namibia kiukwel wamejitahid sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, central Africa??? Mimi naongelea kazi zetu za boxMkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga
Bangladesh hapana aisee[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga
Ndio mkuu acha porojo changamkia fursa hapo CAR na Southern SudanMkuu, central Africa??? Mimi naongelea kazi zetu za box
Noma
Jon, please please please usimpe mtu ushauri Kama hujawahi kupitia scenario tajwa.Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga
Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga
Kivp mademu wa kijapan wanaponza na kurudsha nyuma mkuu?But ukiwa na mwenyeji Japan Visa yao ni rahisi sana sana isipokua utamaduni wao tu unawafanya kutoingiliana sana kimahusiano na blacks!! Na ukiwa resident wa first world ndo kabisaa unaingia kama chooni. Binafsi nimezurula sana Tokyo kilichonishinda ni vyakula vyao tu!!
Kuhusu mademu pole sana hao wamewaponza na kuwarudisha nyuma watu wengi sana!!
Central África kwenye Vita?Mkuu nakushauri nenda East Timor, Bangladesh na Central Africa Republic yani kuna fursa za kumwaga