Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.

Bado unaishi huko?
Brother ujana na kufahamiana na madem wa kijapan. Story ndefu kaka, mpaka dem alihama kwao tukawa tunatunaishi wote baada ya kufika Japan.

Ujinga wa kujiona yank halafu don't care ukanifanya nikampoteza Mtoto wa kijapan. Nilivyompiga kibuti, nasikia alichukua lilkizo hokaido huko, kwenye snow karibu na urusi. Dah!!!

It was true love, lakini I lost it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.

Bado unaishi huko?
No brother siishi huko. Nipo bongo long time. Nakumbuka tulikuwa tunakimbiza madem na Dr. Bingwa wa rais awamu fulani. So interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Namibia kuna kitu gani cha maana kinawapa hadhi hivyo?
Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,

Kule ukizaa kilema unalipwa,mzee analipwa,yaan wa namibia kiukwel wamejitahid sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No brother siishi huko. Nipo bongo long time. Nakumbuka tulikuwa tunakimbiza madem na Dr. Bingwa wa rais awamu fulani. So interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app

But ukiwa na mwenyeji Japan Visa yao ni rahisi sana sana isipokua utamaduni wao tu unawafanya kutoingiliana sana kimahusiano na blacks!! Na ukiwa resident wa first world ndo kabisaa unaingia kama chooni. Binafsi nimezurula sana Tokyo kilichonishinda ni vyakula vyao tu!!

Kuhusu mademu pole sana hao wamewaponza na kuwarudisha nyuma watu wengi sana!!
 
3rd world nationals tunabaguliwa sana. Kuna vizingiti vingi sana tukitaka kusafiri kutembelea na kuishi nchi za wenzetu. Raia wa Botswana Namibia na mauritius pekee africa hawahitaji visa kuingia nchi za wenzetu kutembelea
Kwa Nini???

Noma
 
Jon Stephano aka Copenhagen. Nilishayapitia hayo maisha. Nilipiga kazi kwenye viwanda vya kutengeneza vitabu kule Japan. Dah! Unapiga mzigo kwenye mashine na ukikosea taa ya kumulimuli inawaka kwako, halafu watu wote wanabaki kukushangaa.

Vibibi vizee, vinapiga kazi mpaka unaona aibu. Halafu anakuja boss mkuu anaanza kuokota makaratasi yaliyodondoka chini. Wajapani bwana. Dah hayo maisha.

Tunakushanya hela kwa bidii halafu tunaenda kushindana na wanaigeria kufukuzia madem. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipiga miaka mingapi???

Noma
 
Mkuu,namibia ni nchi nyingne,kwanza population yao haizid mil4 nchi nzima,wana maisha kama ulaya,..nna ndugu yangu ni Dr kule hatak hata kuskia Tz,mshahara wake ni 24mil za kibongo,

Kule ukizaa kilema unalipwa,mzee analipwa,yaan wa namibia kiukwel wamejitahid sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kazi za box kule???

Noma
 
But ukiwa na mwenyeji Japan Visa yao ni rahisi sana sana isipokua utamaduni wao tu unawafanya kutoingiliana sana kimahusiano na blacks!! Na ukiwa resident wa first world ndo kabisaa unaingia kama chooni. Binafsi nimezurula sana Tokyo kilichonishinda ni vyakula vyao tu!!

Kuhusu mademu pole sana hao wamewaponza na kuwarudisha nyuma watu wengi sana!!
Kivp mademu wa kijapan wanaponza na kurudsha nyuma mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkùù viwanda vyote hivi pamoja na ajira kede kede za udåktari hapa Tanzania ya Magufuli bado unataka kuondoka, alafu uchumi unakuwa kwa kasi sana hapa Tz vumilia kidogo tu Magufuli aifànye Tz kama Newzealand
 
Back
Top Bottom