Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Hawezi kuelewa huyo mwanamke anaonekana kabisa tamaa mbele. Amefatilia mpk mshahara wake anajua kwaio anataka afaidike kupitoa mshahara wa jamaa,
Wewe dada acha tamaa
 
Njoo hapa karibu na kwako nikununulie nyama choma na bia bardiiiii!!!!
 
Nmekutukana wapi ? Ungetukanwa ungesema wewe
 
Wewe ulishaambiwa masharti uliyokuwa ukimpa mama yako au mlezi wako kuhusu vyakula?
Hayo malezi unayompa yanamfaa yeye ama wewe?
 
Jaribu bi mdogo miye binti yangu kampeleka huko na amishia kupewa barua za wito kumi na mbili jamaa haji na hawamfanyi kitu.
Ushauri nenda kituo cha msaada wa kisheria kwa wanawake WILAD wamburuze mahakamani.
Ama kweli wazee wa siku hizi wanapaka piko ili mvi zisionekane na hivyo kukosa hekima.
Unajua walimzaa mzaa mtoto wao ktk mazingira na makubaliano gani?
 
Umemaliza yote niliyotaka kusemaπŸ™isitoshe asiishi akiuwaza mshahara wa mwanaume atakufa kwa stress,Mimi mwanzoni nilizinguana na baba watoto kuhusu mahitaj ya watoto,yeye Yuko private firm,akasema wewe uko serikalini unanizid kipato,nikaona isiwe kesi nikaacha kumwuliza lolote kuhusu mahitaji ya watoto.

Miaka ikasonga nikapata challenge kazini tukakubaliana watoto wakachukuliwa na wazazi wake,wanaishi vyema tu,wanakula watakacho,wanasoma, kifupi they're happy,hakuna grudge kati yetu,kifupi tunawalea kwa amani,nachopambana nacho ni upweke tu wa kutoishi naoπŸ™.

So apambane alee watoto na asiuwaze mshahara wa jamaa atakufa awaache wanae yatima.
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Usiskilize maneno ya watu hapa jf wewe nenda watamuuta na utasaidiwa . Hiyo inaitwa maintenance. Ipo kwenye sheria ya ndoa . Utapewa zaidi ya 5 cause jamaa ana uwezo
 
Mbona unamsema hivyo mwanao. Mtoto kupenda kula ni baraka.
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
mtoto ni wako dada pambana nae tu hakuna namna, sawa elfu hamsini ni kubwa kama huna na ni ndogo sana ukizingatia mpaka umpeleke ustawi wa jamii kwa ajili ya elfu hamsini
 
Sasa mwembamba mrefuu acha ale anenepe tu siku hizi kaanza nenepa angalau ,acha ale tu halaf anapenda vitu vya kukaanga na kachumbari ananimalizia mafuta huyuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pole ila vitu vya kukaanga usimzoeshe sana, bado mtoto anakua jitahidi ale mboga za majani kwa wingi, vyakula jamii ya wanga vimpe nguvu na vya protini kwa wingi vimjengee kimwili na akili

Bites asizifanye ndio mlo, ale bites vetween meals

Nimeconnect dot tu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna wakati huwa nashindwa kuwaelewa Wanaume wenzangu, hivi inakuwaje unashindwa kulea damu yako?
Mkuu, haya mambo yana changamoto sana.

Sisemi kwamba muanzisha Uzi amesababisha Mwanaume kutelekeza Mtoto, lakini, nyakati nyingine unaweza kuta Mwanamke ndiye aliyesababisha hali hii kwa kumtenganisha Baba/Mwanaume na Mwanaye kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kumkomoa Mwanaume, kiasi hata cha Mwanaume kuambiwa Mtoto siyo wake.!!!

Siyo mara zote Wanaume wasiolea damu zao, wamezitelekeza kwa kukimbia majukumu bali imewalazimu kufanya hivyo, ili nao, maisha yaweze kusonga mbele. Maana, kama wangeendelea kulazimisha, wangekufa kwa stress.

Ni jambo la kushangaza, lakini ndiyo hali halisi inayoendelea kwenye Jamii.
 
πŸ’―πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…