M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
Kama ni kweli ulichoandika basi huyu mwanaume atakuja kupata shida sana huko mbele ya maisha yake.. wanaume wengi tunaishi na laana za wanawake tuliowazalisha na kuwatelekeza.. nimejifunza sana kwa mshua wangu anaishi maisha ya kujuta na kulalamika kila siku..
Mpaka Sasa wengi mna amini kwenye ndoa mama mtakatifu, baba ni shetani. Kina baba hawana utamaduni wa kusema ya wake zao. Tena pengine ,hali ya mshua imesababishwa na mama.Chunguzs