Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Sheria mkononi ya bwana @dronedroke
 
πŸ”§
 
I wish wanangu wangekuwa hivi,vijamaa chakula mpaka tugombane kwa mikwara mizito as if wananilia mm!!
 
Hiyo 2.8 ndio unaitolea macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe huko ulipo unalipwa ngapi!!!? lea mtoto wewe maana hilo pia ni jukumu lako, huo ushamba ushapitwa na wakati, mtu hawezi kukataa kuhudumia mtoto wake kunawezekana ana changamoto nyingine labda huyo mtoto ndio umemfanya kitega uchumi
 
Ni kweli Mkuu, lakini kama Mwanamke ameamua kulazimisha kubaki na Mtoto/Watoto basi huna budi Mwanaume kutenga fedha kwaajili ya kumhudumia damu yako ili mtoto asipate tabu.

Sio vizuri Watoto wapate shida na Wazazi mpo hai, ukiona hutaki kuongea na mtalaka wako fungua Akaunti uwe unatumbukiza hela ya matumizi pamoja labda na ada kila mwisho wa mwezi kwaajili ya Mtoto wako.
 
Sipati picha katakua kabongeee
 
We mwanamke una maakili sana.
 
Kwani mlikubaliana na huyo Mwanaume kuzaa huyo mtoto ?

Kama mlikubaliana inabidi awajibike lakini Kama sivyo wajibika mwenyewe maana ulikuwa na uwezo wa kuzuia usipate hiyo mimba, labda awe alifanya kukubaka.
mimi nmeolewa nae na tuna watoto wawili na sijataka 50k bali watu wananovunja moyo kwamba nikienda napewa 50k ndo maana nikauliza je napewa 50 k ??
 
Alivyoona mshahara 2.8 labda alijua akibeba mimba atakuwa na uhakika wa 1m kila mwezi.
dada sio kwel nimeolewa ane ana cheo cha kawaida kasoma mpaka kapandishwa cheo yuko wote tumejenga nyumba tu wote asa nilichofata apo ni nn?
 
100 kwa siku, nikiwah sikia.
Hana wazazi?
Umeujuaj3 mshahara wake?
Unataka kutoka kimaisha juu ya mshahara wake?
Huna uwezo wa kumlea mtoto peke ako?
Hataki kumchukua mwanae alee mwenyewe?

Angalia usije kuaibika
mtoto miaka 2 wa pili miez 4 anamleaje nilimpa mtoto mdog nikashindwa nikamfwata sababu ya tabia za babake alishindwa kumuheshimu mtoto mpaka mwil wake alikuwa analala na wanawake ndan anabadil mbele ya mtoto mpaka mdog wake aliniomba nikamfwate mtoto maan kaka yake hakuwa tabia nzur je kama ww ungefanyaje au unaongea tu?? kama kuaibika nishaaibika sana kashanivua nguo sana kwanza kwetu hakanyagi akitaka kumuona mtoto anaishia barabaran eti nimpeleke mtoto njiani kwel haki? na kuhusu ndug zake siwez walalamikia maan watu huchoka pia na siwez jua anaongea nn kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…