Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Tusaidiane kupaza sauti, suala la Kuachana lisiwe kigezo cha Watoto kunyimwa haki ya kupata mahitaji yao.💯🤗🤗🤗
Kama Mwanaume hauko tayari kulea na kutoa huduma kwa Mtoto/Watoto wako ni bora kuchukua sheria Mkononi au kutumia Uzazi wa mpango hadi pale utakapokuwa tayari.