bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
ati halafu aje kujitokeza mtu anajiita baba anaomba mtoto amsaidie, hivi kweli mtoto atamsaidia?we kaka nimeolewa nae sijafwata mali maan hakuwa na mali pindi tupo wote
Ni kweli,lakini jaribu pia kuangalia wastani wa vipato kwa watanzania wengi. Mfano ni mwalimu,take home yake ni 250k baada ya makato pamoja na mikopo benki..na hana biashara,na pia kumbuka ana familia nyingine na watoto. Kuna muda naona jamii forums tunaishi ulimwengu wa tofauti kabisa na uhalisia wa maisha ya mtaani.Angalau hyo 100k ila 50k mtoto anakula nn hapoπ
Kabla ya kuzaa na mlipokutana mlikwenda huko kwanza?Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Shida si kuwapanulia na wewe shida ni matokeo baada ya nyie mliopanuliwa kumwaga ndani na kutelekeza majasho na mabao yenuKwani ulizaa ukitegemea child support..? Ndio mkome kupanulia wanaume hovyo... Single maza mtarukwa na kichaa sana miaka hii
Kwanini umlazimishe baba kufanya majukumu yake kwa watoto wake mwenyewe huoni kama unatumia nguvu sanaNaombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Yeye katoa elf 50 Kwa mtoto WENU. wewe unatoa ngapi?Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Duh..!Yeye katoa elf 50 Kwa mtoto WENU. wewe unatoa ngapi?
Useme hivyo mana mambo sio kama Yale ya miaka ile. Eti baba hataki kutoa huduma wewe uliyotoa Iko wapi? Usifanye vitu kumkomoa jamaa utafeliDuh..!
Watu wengine sijui mnawazaje, au bado ni watoto.
Huo sio mchango wa harusi..ni malezi ya watoto, mama yuko na hao watoto anaelemewa kuwalea mwenyewe.
Huna kibarua/kipato cha kumtunza mtoto wako,kwa nini unazaa tu ili umtwishe mwanaume uleaji?Ifike muda mjitambue.Sijawahi kwenda mahakamani ila nazani nitaenda kwa ishu kama hii
Nyie wanamke mnazingua sana
Siyo jibu.Toka ndani ya boksi na ulisome upya swali ili utoe mlingano wa huduma.Duh..!
Watu wengine sijui mnawazaje, au bado ni watoto.
Huo sio mchango wa harusi..ni malezi ya watoto, mama yuko na hao watoto anaelemewa kuwalea mwenyewe.
wewe sijazaaa ovyo mimi nimeolewa kwa ndoa mpaka vyeti kwahiy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa???Huna kibarua/kipato cha kumtunza mtoto wako,kwa nini unazaa tu ili umtwishe mwanaume uleaji?Ifike muda mjitambue.
NB:Huyo mtoto ni wa mwanaume peke yake.
-Vipi kama angekuwa amefariki?
-Vipi kama mwanaume anapata ulemavu hadi kutoweza kuwa na kipato?
-Msilemazwe na sheria zinazowapendelea na kubakia kama ninyi ndiyo walemavu wa akili na miili hadi kutaka dezodezo tu.
umalaya wako na kuzaaa bila ndoa vimekufikisha hapo..tamaaa mbaya sana!!!I ona sasa wanataabika watoto Kwa upumbavu wako.Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
nikome kaka tafadhali nimeolewa na chetu kabisa na mimi ndo mke wa kwanza hakuwa na mke wala mtoto kwahy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa??? tuheshimiane tafadhaliumalaya wako na kuzaaa bila ndoa vimekufikisha hapo..tamaaa mbaya sana!!!I ona sasa wanataabika watoto Kwa upumbavu wako.
Mpe mtoto wake uyo mwanaume aleee mwenyewe..usigeuze mtoto kama mtaji...ww inaonekana ulimtegea mimba sabb ya huo mshahara...imekula kwakoππππ
Ndoa kama imekushinda Rudi kwenu mwache mtoto na baba yake..wewe sijazaaa ovyo mimi nimeolewa kwa ndoa mpaka vyeti kwahiy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa???
yes sina kazi kwa sababu mwanaume aliniomba nisifanye kaz alipenda mwanamke wa nyumban na alinikataza kipind kashanioa ulitaka nishindane na mwanaume?? nisaidie maan mnatukana tuu kama yeye aliyataka mm nisiwe na kazi imetokea tumeachana inabid awalee watoto wake huku mm nikijipanga upya kutafuta kitu cha kufanya kwa sasa siwez kwa sababu ya kuuguza mtoto na hali yangu kumbuka ndan ya miaka 2 nina opareshen 4 hivyo hata mwili pia haupo sawa
we ungemuacha mtoto miaka 2 na mwingine miezi sita kwa babaake?? au unanitukana tu we ungeweza?Ndoa kama imekushinda Rudi kwenu mwache mtoto na baba yake..