Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

we kaka nimeolewa nae sijafwata mali maan hakuwa na mali pindi tupo wote
ati halafu aje kujitokeza mtu anajiita baba anaomba mtoto amsaidie, hivi kweli mtoto atamsaidia?

Na wengine watamsema mtoto ati baba ni baba tu, wakati baba mwenyewe ndiyo huyo hataki kusaidia hata shilingi.
Shubamiti, Bangaladeshi mmoja (kwa matusi ya Sanga)!
 
Angalau hyo 100k ila 50k mtoto anakula nn hapo😅
Ni kweli,lakini jaribu pia kuangalia wastani wa vipato kwa watanzania wengi. Mfano ni mwalimu,take home yake ni 250k baada ya makato pamoja na mikopo benki..na hana biashara,na pia kumbuka ana familia nyingine na watoto. Kuna muda naona jamii forums tunaishi ulimwengu wa tofauti kabisa na uhalisia wa maisha ya mtaani.
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Kabla ya kuzaa na mlipokutana mlikwenda huko kwanza?
 
Kwani ulizaa ukitegemea child support..? Ndio mkome kupanulia wanaume hovyo... Single maza mtarukwa na kichaa sana miaka hii
Shida si kuwapanulia na wewe shida ni matokeo baada ya nyie mliopanuliwa kumwaga ndani na kutelekeza majasho na mabao yenu

Tunakuomba ukae tayari tayari kwa kutufunga kamba baada ya kuwa vichaa maana ni kweli vichwa vyetu vinawaka moto na vipo resi balaa
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Kwanini umlazimishe baba kufanya majukumu yake kwa watoto wake mwenyewe huoni kama unatumia nguvu sana

Kwanini utumue nguvu kwa mtu mzima mwenye ufahamu, maamuzi na utambuzi

Huyu kama hataki kuhudumia means wewe na watoto si priority kwake

Have standards kama mama achana nae pambana kivyako as long mama upo watoto wako hawawezi kuaibika kisa hawapati huduma ya baba

Usi force utazidi kuumia tulia aamue kuhudumia mwenyewe si wewe kulazimisha
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Yeye katoa elf 50 Kwa mtoto WENU. wewe unatoa ngapi?
 
Kama una amini ni Baba yake, anza hiyo safari na mtoto atahudumiwa vizuri tu.
 
Wakifuata sheria ya ndoa na ile ya ustawi wa jamii unaweza jikuta unaoipwa 30,000 badala ya hiyo 50. Maana hutapewa kwa % ya mshahara wake bali kiasi cha pesa ya mtoto imetajwa kwenye sheria kwa kila siku.
 
Yeye katoa elf 50 Kwa mtoto WENU. wewe unatoa ngapi?
Duh..!
Watu wengine sijui mnawazaje, au bado ni watoto.

Huo sio mchango wa harusi..ni malezi ya watoto, mama yuko na hao watoto anaelemewa kuwalea mwenyewe.
 
Duh..!
Watu wengine sijui mnawazaje, au bado ni watoto.

Huo sio mchango wa harusi..ni malezi ya watoto, mama yuko na hao watoto anaelemewa kuwalea mwenyewe.
Useme hivyo mana mambo sio kama Yale ya miaka ile. Eti baba hataki kutoa huduma wewe uliyotoa Iko wapi? Usifanye vitu kumkomoa jamaa utafeli
 
Sijawahi kwenda mahakamani ila nazani nitaenda kwa ishu kama hii
Nyie wanamke mnazingua sana
Huna kibarua/kipato cha kumtunza mtoto wako,kwa nini unazaa tu ili umtwishe mwanaume uleaji?Ifike muda mjitambue.
NB:Kwani huyo mtoto ni wa mwanaume peke yake?
-Vipi kama angekuwa amefariki?
-Vipi kama mwanaume anapata ulemavu hadi kutoweza kuwa na kipato?
-Msilemazwe na sheria zinazowapendelea na kubakia kama ninyi ndiyo walemavu wa akili na miili hadi kutaka dezodezo tu.
 
Duh..!
Watu wengine sijui mnawazaje, au bado ni watoto.

Huo sio mchango wa harusi..ni malezi ya watoto, mama yuko na hao watoto anaelemewa kuwalea mwenyewe.
Siyo jibu.Toka ndani ya boksi na ulisome upya swali ili utoe mlingano wa huduma.
NBMtoto haumbwi na mwanaume pekee.Ni muunganiko wa yai la mwanamke na mbegu za mwanaume.Kila mmoja alitoa mchango mtoto akapatikana.Iweje kwenye muendelezo wa kulea mmoja ajifichefiche na kumsukumia mwingine tu?Kuna changamoto mahali.
 
Huna kibarua/kipato cha kumtunza mtoto wako,kwa nini unazaa tu ili umtwishe mwanaume uleaji?Ifike muda mjitambue.
NB:Huyo mtoto ni wa mwanaume peke yake.
-Vipi kama angekuwa amefariki?
-Vipi kama mwanaume anapata ulemavu hadi kutoweza kuwa na kipato?
-Msilemazwe na sheria zinazowapendelea na kubakia kama ninyi ndiyo walemavu wa akili na miili hadi kutaka dezodezo tu.
wewe sijazaaa ovyo mimi nimeolewa kwa ndoa mpaka vyeti kwahiy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa???

yes sina kazi kwa sababu mwanaume aliniomba nisifanye kaz alipenda mwanamke wa nyumban na alinikataza kipind kashanioa ulitaka nishindane na mwanaume?? nisaidie maan mnatukana tuu kama yeye aliyataka mm nisiwe na kazi imetokea tumeachana inabid awalee watoto wake huku mm nikijipanga upya kutafuta kitu cha kufanya kwa sasa siwez kwa sababu ya kuuguza mtoto na hali yangu kumbuka ndan ya miaka 2 nina opareshen 4 hivyo hata mwili pia haupo sawa
 
iko hivi mimi nmeolewa na tuna miaka 4 na nusu ya ndoa now nina miaka 24 ex husband ako na 31 ...ye ni engneer tanesco kipindi tunaowana sikukaa sana naona ni saba ile nikabeba mimba nikajifungua mtoto wa kwanza ..nikaja beba mimba nikajifungua wa pili siwezi sema mimi ndo nina matatizo au yeye maan nitakuwa nakosea pengine mimi nilikosea au yeye pia alinikosea maan nikisema alinifanya hivi sijui vile ntakuwa pengine namponda yeye kumbe shida ninayo mm ila mimi ndiye nikawa naumia kila nikijitahid kurekebisha ilishindikana basi tukawa tunaishi ndan kama watu hawajuani chuki yule baba kwangu ndo ilizidi maan nahis alinichoka zaidi kutokana na kuwa kinyume nae baadhi ya mambo yake ambayo sikuona sahihi au kutokana na tofaut zetu ukimwambia hiki tunaishia kulumbana kutokana na pengine tuliyopitia tulichokana ila mimi kama mm nilivumilia sababu ya mtoto apo nina mimba miez 7 ikafikia hatua mbaya mpaka napigiwa simu na manzi za nje zinanitukana nilipata pressure ya mimba nikajifungua siku ambazo sio makadirio nilijifungua week 29 mtoto njiti na siku najifungua hakuwa nyumban alilala kwa manzi zake alipigiwa simu na nesi alete vifaa hosptal kwa maan kabla ya kuingia theatre niliandika namba za wadhamin wawili na sikwenda kwa nia ya kujifungua ila nilikwenda kama clinic ndo pressure ikanishika ikabidi nikimbizwe op fasta basi nilipozinduka nilimuona hosp na mama yang na baadhu ya ndug zake apo mtoto alikuwa yupo kwenye incubeta ile ya kupumulia tulikaa sana hosp bas baada ya kuruhusiwa nilikaa week mbili alinipa talaka kwamba hanitaki ye anataka kuoa niende kwetu nikawasiliana na kwao tulikaa kikao ila alionekana mkorofi sana bas mpaka hivi navoongea mamaangu kajitoa kabisa kwenye maswala ya kesi yetu nipo napambana mwenyew ila kinachonifanya nipambane naye kwa sasa hali yangu haijaimarika sana kutokana na op nilifanyiwa mbili ya mtoto na ya hernia ya kitovu ambapo huko nyuma nilipata op ya nje ya kizazi na ya mtoto wa kwanza jumla ninayo mishono 4 kwa muda mfupi kwahiy sikukava sana hivo mamaangu analalamika anaelemewa sababu mamaangu ni kibarua tu hana biashara ya ajira ila yeye tulivyoachana alinitamkia sitapata chochote sikuhangaika maan tulijenga tukifanya maendeleo tukiwa wote sikutak kusumbuana nae kwenye mali maan niliamini ipo siku ningepata mali zangu na mimi je (nyie mnaosema nimefwata mali je ningeshindwa enda bakwata kudai mali zang?? msipende mtukan mtu hamjui nachopitia maan cheti ninacho na kuhus msharah alikuwa ananambia mpk siku anapandishwa cheo alinionyesha karatas kabisa ya ofisi mmenitukana san

cha mwisho nilitak kupambania haki za watoto tu ndo naan niliomba msaad wapi nipitie niwez pata haki yangu
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
umalaya wako na kuzaaa bila ndoa vimekufikisha hapo..tamaaa mbaya sana!!!I ona sasa wanataabika watoto Kwa upumbavu wako.

Mpe mtoto wake uyo mwanaume aleee mwenyewe..usigeuze mtoto kama mtaji...ww inaonekana ulimtegea mimba sabb ya huo mshahara...imekula kwako😂😂😂😂
 
nikome kaka tafadhali nimeolewa na chetu kabisa na mimi ndo mke wa kwanza hakuwa na mke wala mtoto kwahy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa??? tuheshimiane tafadhali
 
wewe sijazaaa ovyo mimi nimeolewa kwa ndoa mpaka vyeti kwahiy unanilaumu kuzaa ndan ya ndoa???

yes sina kazi kwa sababu mwanaume aliniomba nisifanye kaz alipenda mwanamke wa nyumban na alinikataza kipind kashanioa ulitaka nishindane na mwanaume?? nisaidie maan mnatukana tuu kama yeye aliyataka mm nisiwe na kazi imetokea tumeachana inabid awalee watoto wake huku mm nikijipanga upya kutafuta kitu cha kufanya kwa sasa siwez kwa sababu ya kuuguza mtoto na hali yangu kumbuka ndan ya miaka 2 nina opareshen 4 hivyo hata mwili pia haupo sawa
Ndoa kama imekushinda Rudi kwenu mwache mtoto na baba yake..
 
Back
Top Bottom