Mkuu, hujakutana na wanawake wajeuri, unakuta mwanamme anapambana, anasomesha halafu mwanamke anakuwa na jeuri, kiburi hataki kuwapeleka watoto upande wa pili wakawafahamu ndugu zao wengine.Hivi mwanaume rijali mwenye akili timamu na una uwezo,unawezaje kuitelekeza damu yako?
Hawa viumbe waskie unakuta upo katikati ya mchezo, anasubili unaenda kutema uji mzito anachomoa pipe utajikuta unataja hadi namba ya siri ya card bank...Nyie wanawake nyie! Kwa hiyo ulimpanulia hadi akataja Siri za Mshahara wake ndo ukampa bila kuzingatia siku za hatari?
Hiyo haki ya kulaani mwanamke anaitoa wapi?Kama ni kweli ulichoandika basi huyu mwanaume atakuja kupata shida sana huko mbele ya maisha yake.. wanaume wengi tunaishi na laana za wanawake tuliowazalisha na kuwatelekeza.. nimejifunza sana kwa mshua wangu anaishi maisha ya kujuta na kulalamika kila siku..
Agiza drostdy hof nalipia tuma namba ya wakala, wanawake wachache sana wanajitambuaUmemaliza yote niliyotaka kusema🙏isitoshe asiishi akiuwaza mshahara wa mwanaume atakufa kwa stress,Mimi mwanzoni nilizinguana na baba watoto kuhusu mahitaj ya watoto,yeye Yuko private firm,akasema wewe uko serikalini unanizid kipato,nikaona isiwe kesi nikaacha kumwuliza lolote kuhusu mahitaji ya watoto.
Miaka ikasonga nikapata challenge kazini tukakubaliana watoto wakachukuliwa na wazazi wake,wanaishi vyema tu,wanakula watakacho,wanasoma, kifupi they're happy,hakuna grudge kati yetu,kifupi tunawalea kwa amani,nachopambana nacho ni upweke tu wa kutoishi nao🙏.
So apambane alee watoto na asiuwaze mshahara wa jamaa atakufa awaache wanae yatima.