Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

Ooh
Matumizi ni yapi? Pixel utapata camera nzuri ila nje ya Camera hasa series ya 6 haitakua simu n

Matumizi ni yapi? Pixel utapata camera nzuri ila nje ya Camera hasa series ya 6 haitakua simu nzuri.
Mkuu mimi sio mpenz wa kamera wala kupiga picha nahitaji tu simu nzur ,current version yenye android ya juu, e-sim , features nyengine nzuri ,mkuu nitaomb unishauri simu gn ninunue bajet yngu n 600,000-650,000 najua ww n mtalamu w haya mambo chief
 
Achana Na pixel then,

Pia una shida gani na Esim? Maana inakulimit sana kwenye uchaguzi wa sim, pia kama hufahamu simu yoyote unaweza ukaweka Esim ambazo unapachika sehemu ya line.

Kwa simu zinazokuja na Esim tafuta flagship za 2020 kama Note 20 ultra ina Esim.
 
Kuna note 20 ultra moja nilisita kuichukua sababu ilikua na bezel nene tofauti na nilizowahi kuziona lakini camera yake ilikua kinanda muuzaji ananiambia hizo ni original sema ni kioo kidogo je ni kweli kuna note 20 ultra kioo kidogo
 
Kuna note 20 ultra moja nilisita kuichukua sababu ilikua na bezel nene tofauti na nilizowahi kuziona lakini camera yake ilikua kinanda muuzaji ananiambia hizo ni original sema ni kioo kidogo je ni kweli
Note 20 ultra ipo hivi
samsung-galaxy-note20-ultra-1.jpg

Haina version nyengine.

Kuna note 20 plain hio ni simu nyengine, sema nayo pia sio simu ndogo
 
Back
Top Bottom