nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,212
- 1,431
Wapi naweza kuipata OG maana naskia K/koo maduka mengi wanaku wa nazo fake au refurbished unauziwa kama mpyaNi simu nzuri, issue ni bei yake tu, kama unaipata kwa bei ya kawaida sawa ila kwa bei wanazo charge mtaani ni ghali sana. Around 700K sio bei mbaya kwa hio simu tena isiwe 4G version.