Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

DUKA LIPI HILO HAPA TANZANIA WANAUZA SAMSUNG A34 LAKI 6 MKUU? A34 NI LAKI 7 NA NUSU REDMI NOTE 12 PRO 5 NI LAKI 8

Bei za online zinakua kubwa kuliko za Mtaani kibongo bongo.
 
Mkuu
Kwa hio bei sio mbaya
chief mkwawa na wengine je nikienda kununua samsang s21 pale kwa zahoro matelefon china plaza je udumuji, n ubora wa simu zke ,znaweza kunisogeza n mm kuinjoi ,au zitanifia kesho tu ?
 
Hata ikiwa mpya mkuu unless huna matumizi makubwa haushauriwi kununua S21 mkuu.
 
Mkuu

chief mkwawa na wengine je nikienda kununua samsang s21 pale kwa zahoro matelefon china plaza je udumuji, n ubora wa simu zke ,znaweza kunisogeza n mm kuinjoi ,au zitanifia kesho tu ?
Nilipita kwa Zahoro karibia flagship za samsung zote zina dot kwenye display sema bei zake ni kitonga sijajua sasa kama zina shida nyingine au laa sikuchukua maana najisikia aibu kutumia simu yenye dot kwenye kioo
 
Kumbe ndio maana bei chee
 
Hizo simu si zinalalamikiwa zinajizima gafla? nakushauri achana nazo tafuta samsung, xiaom au iphone kama unapenda IOS.
HUU USHAURI MZURI SANA, AKIPATA MPYA KWENYE AINA HIZI ATA ENJYOY SANA
 
Back
Top Bottom