Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

Boss ya juu ni note 13 plain haina issue, ya chini ni note 13 pro, hio pro ndio nzuri na utofauti wake na note 13 plain ni mkubwa.
Mkuu, kwenye moja ya comments umesema kupata Samsung original kwa hapa TZ ni mtihani, je hata ukienda Samsung Tanzania nako huwezi kupata genuine product pia?.
 
Original ama brand new? Nyingi mtaani ni OG sema refurbished. Ukienda Samsung Tanzania ama hata Wakala anaejulikana unapata brand new, ila bei pia zinakua zimechangamka inategemea na model.
 
Mm nmenunua A35 700,000 country of origin n Vietnam sijapigwa kwell
 
Kama feki hivi, umeitest mkuu na cpu Z ama software yoyote nzuri ya kucheki specs?
Mkuu hv kuna namna ya kuactivate esim kwenye sim ambazo znasapot e sim lkn kwenye nchi husika hawaja weka mfano mm y king country of origin n vietnam
 
Mm nmenunua A35 700,000 country of origin n Vietnam sijapigwa kwell
Most of time hizi midrange hazina shida sana mkuu, zipo refurb ila mpya pia zinapatikana kirahisi.

Umenunua sasa hivi sio? Claim Samsung care yako hapa

Redeem accidental damage protection yako ukivunja kioo watakutengenezea kwa 48,000-60,000.
 
Mkuu hv kuna namna ya kuactivate esim kwenye sim ambazo znasapot e sim lkn kwenye nchi husika hawaja weka mfano mm y king country of origin n vietnam
Origin ya simu haimaanishi simu imetengenezwa kwa ajili ya soko hilo. Vietnam kuna kiwanda kikubwa cha Samsung, simu Ya Ulaya, Marekani, Korea etc Inaweza ikatengenezwa Vietnam ikauzwa huko.

Ya kwako ina Esim ama dual sim?
 
Ya

Kwangu ni dual sim , japo niki gugo wasema inaweza supprt esim ila sijaona
 
Angalia hii picha kidevu cha chini kwenye hii simu note 20 ultra
View attachment 3098789
Hiyo na hii ukiangalia ipi ni orijino?
1730576120983.jpeg
 
Back
Top Bottom