Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

Okay
Vp kuhusu changamoto zake maana naona wengi wanasema zina changamoto ya kuzima zenyewe na hasikai na chaji
Ndio mkuu Chaji ukaaji kawaida na pia kama una matumizi makubwa itapata Joto. Kifupi mkuu kama una matumizi makubwa ya camera kwa bei rahisi ndio unanunua pixel otherwise kuna simu nzuri zaidi overall.
 
Asante kwa ufafanuzi
Mbadala wake naweza chukua simu gani bajeti 600K
 
Asante kwa ufafanuzi
Mbadala wake naweza chukua simu gani bajeti 600K
Refurbished flagship ni simu zenye snapdragon 8+ gen 1, all around zitakupa experience nzuri

Nimezi narrow hapa

Kwa soko la Usa Rahisi kupata hapo ni Oneplus 10T, China redmi K60, Oneplus Ace pro etc.

Sema kama unataka UI kama pixel tafuta Oneplus.

Kwa midrange kibongo bongo ambazo perfomance inajitahidi na camera/Battery nzuri angalia simu za Vivo zinazoanziwa na V kama V29, Simu za Oppo Reno Series, Samsung A5x series, Redmi note series za Karibuni etc.

Kama priority ni camera na ukaaji chaji na unataka Flagship huchezi heavy games Consider pia simu za Mediatek, flagship za Vivo/Oppo za Karibuni pia zimeshuka bei ila hizi unazipata zaidi masoko ya China. Mfano Vivo X90
 
Back
Top Bottom