Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

Ni simu nzuri, issue ni bei yake tu, kama unaipata kwa bei ya kawaida sawa ila kwa bei wanazo charge mtaani ni ghali sana. Around 700K sio bei mbaya kwa hio simu tena isiwe 4G version.
Wapi naweza kuipata OG maana naskia K/koo maduka mengi wanaku wa nazo fake au refurbished unauziwa kama mpya
 
Sawa mk

Ok bac Mkuu tuachane n hio e sim mm naomba unishauri ninunue simu gan kw hii bajet yangu kesho niende kariakoo nisije ingizwa mkenge na nitashukur ukinipa n chimbo zuri lenye bei poa ,mkuu kw bajet yng y 600k-650k
 
Ni simu nzuri, issue ni bei yake tu, kama unaipata kwa bei ya kawaida sawa ila kwa bei wanazo charge mtaani ni ghali sana. Around 700K sio bei mbaya kwa hio simu tena isiwe 4G version.
Hivi Chief tofauti ya 4G na 5G version ni ipi...??? Kwa maana maeneo Mengi mtaani 5g Nert haijawa Covered.

Maana Mimi nimejikuta natumia Redmi note 12 snapdragon 685
Ram 8 Memory 256.
kweli nimeipenda jinsi Ilivyo...
Je nini kinishawishi nihame kutoka humu..?
Kufika hapo 13 Pro ya 5G.

Maana kupitia hii simu nimeapa Sito toka nje ya Redmi ama Xiaomi.
 
Umependa nini mkuu.
 
Vingi tuu kaka...maana ni simu ambayo imekuwa Solution Sana kwangu...
Maana hapo Awali nlikuwa natumia Samsung A23...Dah nlijikuta Mengi nlikuwa nakosa
Bei yake vipi? Niliwahi kutumia Redmi ila zile za bei ndogo ilikuja kua slow sana.
 
Ni simu nzuri, issue ni bei yake tu, kama unaipata kwa bei ya kawaida sawa ila kwa bei wanazo charge mtaani ni ghali sana. Around 700K sio bei mbaya kwa hio simu tena isiwe 4G version.
Na mimi naomba unisaidie mkuu,, nataka kununua xiaomi redmi note 12s mimi napenda simu zenye umbo dogo,, ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida tuu,, sichezi gemu labda application za cryptocurrency tuu basi
 
Siku hizi hakutengenezwi tena soc za 4G, simu yoyote ile unavyoona ina 4G ujue inatumia soc ya zamani hivyo utakua unapitwa na wakati kwenye mambo mengi, so vyema kununua simu ya 5G hata kama hutumii hio 4G.

Simu za 5G hata lowend zinakua na modem nzuri ya 4G.
 
Sawa mk

Ok bac Mkuu tuachane n hio e sim mm naomba unishauri ninunue simu gan kw hii bajet yangu kesho niende kariakoo nisije ingizwa mkenge na nitashukur ukinipa n chimbo zuri lenye bei poa ,mkuu kw bajet yng y 600k-650k
Kwa simu MPya ambayo unafungua mwenyewe kila kitu Samsung A34. Kwa Xiaomi unapata redmi note 12 pro, zote ni simu zinafanana kwenye perfomance huku Xiaomi ikiwa na Camera nzuri na Samsung ikikaa na chaji zaidi.
 
DUKA LIPI HILO HAPA TANZANIA WANAUZA SAMSUNG A34 LAKI 6 MKUU? A34 NI LAKI 7 NA NUSU REDMI NOTE 12 PRO 5 NI LAKI 8
 
Kuna note 20 ultra moja nilisita kuichukua sababu ilikua na bezel nene tofauti na nilizowahi kuziona lakini camera yake ilikua kinanda muuzaji ananiambia hizo ni original sema ni kioo kidogo je ni kweli kuna note 20 ultra kioo kidogo
izo small display ni risk... ni copy na havidumu
 
Kwa simu MPya ambayo unafungua mwenyewe kila kitu Samsung A34. Kwa Xiaomi unapata redmi note 12 pro, zote ni simu zinafanana kwenye perfomance huku Xiaomi ikiwa na Camera nzuri na Samsung ikikaa na chaji zaidi.
Sawa mkuu ngoja nitembee na hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…