Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Funga mdomo na rubber band, kama bado, tumia solar tape kabisa ubane mdomo wote, funga zungushia na koo yote banaa banaa. Kama bado, chukua bubble gum uwe unatafuna tafuna kila siku. Kama bado nenda haraka Mirembe hosp upate matibabu haraka, huo ni ukichaa.
ahsante kwa mchango wako ..
 
Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili.

Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba [emoji23][emoji23]

Nimejitahidi sana kuacha hii tabia lakini nashindwa kila nikifumwa huwa najiapia kwamba sirudii tena, lakini naishia kurudia kama awali.

Je, hii ni kawaida? Nawezaje kuacha hii tabia?
Jaribu kuwa na marafiki wachache, kwa ajili ya stori za hapa na pale, kama hali itaendelea waweza kuonana na wataalamu wa saikolojia
 
kwani unajihisi
1. ni mtu mwenye furaha sana na kukosa usingizi..
2. muongeaji snaaa?
3. kuwa na nguvu muda wote wa kufanya shughuli zako?
4. kukosa hamu ya usingizi mfano; kulala masaa machache kwako yanatosha?
5. kufanya maamuzi ya kibiashara amabayo baadae hujutiaaa?
 
Hata mimi huwa inanitokea kuongea mwenyewe..!
Nahisi inatoka na upweke au kuwa na mawazo mengi na kukosa mtu wa kuongea naye..

Mtu mzima inabidi uweke earphones kuzuga kuwa unaongea na simu

Introvert?
 
Pole Mkuu! Ungekuwa na mke na watoto harafu huna kipato nisingeshangaa!
Penda sana kuwa na watu au kama sivyo chukua muda kuangalia TV!
 
hii kitu huwa naenjoy sana, ila tatizo ni pale mtu akikukuta .. na huwa inakuja automatically tu ..
Furahia maisha yako acha kuhisi watu watakuonaje. Kuongea peke yako sio kitu cha ajabu na wala kisaikolojia haina athari zozote. Furahia personality yako.
 
Sasa mtoa ngoja nikupe mkasa wangu ndyo ujue me napitia magumu zaidi yako.

Kwenye familia ya single parent Yani me na mshua ni kawaida me kumuona mzee akiongea peke yake Wala sikuwa na shida nae ila kadri umri unavyo kwenda ndivyo allivyo kuwa huru kuongea mwenyewe bila kuogopa Mana hapo alikuwa na umri wa miaka 50 na kitu na Sasa Ana umri wa miaka 60 na kitu.

Nikikaa jikoni kupika yeye anatoka nnje anapata nafasi ya kuzunguka nyuma ya nyumba na Mimi namwona vizur kupitia dirisha la jikoni Mana jiko liko nyuma huko huko na ni mida ya usiku ndyo anapendaga kufanya hvyo.

Siku moja nikawa namsoma sana nn kinamsumbua nikawa sielewi ni Mambo yake tu binafsi.Alikuja jikoni sijui kuchuka nn akasema "we niangalie tu utakuja kurithi na wewe uwe Kama Mimi " nikacheka tu Basi siku ikaisha.

Siku hizi nimekuwa wakucheka tena kwa nguvu nikiwa alone Yani nahici kikao kikubwa kichwani Tena me ni mwenye kiti.

Kibaya zaidi Yani nikikumbuka kama nilipat aga aibu au kuumia kwa kitu flani au nikikula loss naweza nikaibuka kwa kutukana Tena tusi kubwa baada ya hapo ndy fahamu zinarudi.

Nilifikaga kanisani siku moja asubuhi naangalia madhabahu siti za mbele pale kuna mtu alisema sogea nikae me bado kumpisha kumbe nilikuwa nawaza ya kwangu nikasema "fala wewe" asee sema sijui akusikia mpk niliona aibu kwa yule bwana bahati nilikuwa kwa ndugu mkoani.

Pia naweza kusema ni urithi tu Kama wazazi wako walikuwa na tabia hizo Mana pia na dada yangu mkubwa nae siku hizi anaongea mwenyewe na kucheka sana Hata akiwa amelala usiku na mumewe.
 
Kwahiyo huwa unaongelea ishu gani au huwa unaongea na nani, kwenye taswira kunajengeka kuwa unaongea na nani mara nyingi?
 
Mtu yeyote yule, na pia huwa naongea ishu zozote zile Yani kawaida tu ila utofauti ni kwamba huwa naongea tu peke yangu lakini kichwani huwa inajengeka taswira kwamba nipo na mtu au watu tunajadiliana ..
 
Sasa mtoa ngoja nikupe mkasa wangu ndyo ujue me napitia magumu zaidi yako.

Kwenye familia ya single parent Yani me na mshua ni kawaida me kumuona mzee akiongea peke yake Wala sikuwa na shida nae ila kadri umri unavyo kwenda ndivyo allivyo kuwa huru kuongea mwenyewe bila kuogopa Mana hapo alikuwa na umri wa miaka 50 na kitu na Sasa Ana umri wa miaka 60 na kitu.

Nikikaa jikoni kupika yeye anatoka nnje anapata nafasi ya kuzunguka nyuma ya nyumba na Mimi namwona vizur kupitia dirisha la jikoni Mana jiko liko nyuma huko huko na ni mida ya usiku ndyo anapendaga kufanya hvyo.

Siku moja nikawa namsoma sana nn kinamsumbua nikawa sielewi ni Mambo yake tu binafsi.Alikuja jikoni sijui kuchuka nn akasema "we niangalie tu utakuja kurithi na wewe uwe Kama Mimi " nikacheka tu Basi siku ikaisha.

Siku hizi nimekuwa wakucheka tena kwa nguvu nikiwa alone Yani nahici kikao kikubwa kichwani Tena me ni mwenye kiti.

Kibaya zaidi Yani nikikumbuka kama nilipat aga aibu au kuumia kwa kitu flani au nikikula loss naweza nikaibuka kwa kutukana Tena tusi kubwa baada ya hapo ndy fahamu zinarudi.

Nilifikaga kanisani siku moja asubuhi naangalia madhabahu siti za mbele pale kuna mtu alisema sogea nikae me bado kumpisha kumbe nilikuwa nawaza ya kwangu nikasema "fala wewe" asee sema sijui akusikia mpk niliona aibu kwa yule bwana bahati nilikuwa kwa ndugu mkoani.

Pia naweza kusema ni urithi tu Kama wazazi wako walikuwa na tabia hizo Mana pia na dada yangu mkubwa nae siku hizi anaongea mwenyewe na kucheka sana Hata akiwa amelala usiku na mumewe.
Sasa mimi mbona wazazi wangu hamna hata mmoja anaye ongea peke yake ? .. itakua nimerithi wapi ?? ..
 
Furahia maisha yako acha kuhisi watu watakuonaje. Kuongea peke yako sio kitu cha ajabu na wala kisaikolojia haina athari zozote. Furahia personality yako.
Shukrani sana mkuu [emoji1545][emoji1545] ..
 
Pole Mkuu! Ungekuwa na mke na watoto harafu huna kipato nisingeshangaa!
Penda sana kuwa na watu au kama sivyo chukua muda kuangalia TV!
hata niki angalia Tv hali huwa ni Ile Ile tu pindi nionapo kitu chenye kufikirisha ..
 
Hata mimi huwa inanitokea kuongea mwenyewe..!
Nahisi inatoka na upweke au kuwa na mawazo mengi na kukosa mtu wa kuongea naye..

Mtu mzima inabidi uweke earphones kuzuga kuwa unaongea na simu

Introvert?
Mara nyingi huwa natafuta comfort zone na kuhakikisha hakuna anaye nisikia lakini huwa inatokea tu suddenly mtu ametokea ..
 
Jaribu kuwa na marafiki wachache, kwa ajili ya stori za hapa na pale, kama hali itaendelea waweza kuonana na wataalamu wa saikolojia
Kuwa na marafiki wa kuzungumza nao sidhani kama itasaidia maana kuna muda hata nikiwa kati kati ya kundi la watu nitatafuta mahali kwaajili ya kuongea peke yangu tu .. kwahiyo ni kazi bure tu ..
 
Back
Top Bottom