Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Kama mada inavyosema hapo juu kwa wale ambao wanafaham basi lenye ubora (luxury) ambalo lina sehemu ya kuchajia, full a/c.
 
Trinity utafika kwetu kigali bila tatizo lolote.karibu kwetu ukifika unishitue tusalimiane aisee
 
Trinity nilipanda liko bomba sana, laki hutaijutia!
 
Back
Top Bottom