Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Tatizo la trinity dereva anakaa kushoto.... YAANI GARI INAENDESHWA NA WATU WAWILI. siku moja kidogo tugongwe na lory kisa dereva wa kulia alisinzia na huyu wa kushoto alitaka kuovertake.
Sielewi huyo wa kulia kazi yake nini? anakanyaga moto na kushika usukani kama kawaida ama anakaa pale kumwelekeza mwenzake kutokana na upande wa Tz na wa Rwanda ni tofauti hivyo anakuwa anamkumbusha hasa akifika kwenye maeneo ya round about
 
Nilimshuhudia huyu dereva anavyoliondoa Ubungo stand asubuhi, aisee ilikuwa ni balaa, watu wanamshangilia jinsi alivyokuwa analiondoa kwa ustadi mkubwa huku akiongeza na manjonjo, hatari!
Ushamba tu
 
Back
Top Bottom