Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Je kwenda Kampala uganda nauli ni bei gani? Na basi linaitwaje??
 
Kesho mkuu ndo nategemea kuondoka nalo kwa hilo usijali ni pm wasap namba.
Mkuu tupeane deal za biashara aisee mitaji tunayo lakin mawazo ya Biashara hatuna.. Ila iwe biashara ya kati ya UG na tz au Rwanda na Tz au Zambia na Tz
 
Trinitu utafika kwetu kigali bila tatizo lolote.karibu kwetu ukifika unishitue tusalimiane aisee
Tatizo basi zenu za Trinity ni za stearing ni left drive, zikishushia barabarani hapa kwetu abiria wanashukia barabarani, ni hatari. Mlango wa abiria kwa hapa kwetu uko upande wa kulia.
 
Mkuu tupeane deal za biashara aisee mitaji tunayo lakin mawazo ya Biashara hatuna.. Ila iwe biashara ya kati ya UG na tz au Rwanda na Tz au Zambia na Tz
Kama una mtaji anza kuzungusha Tz kwanza uangalie itakuaje.
 
Kama una mtaji anza kuzungusha Tz kwanza uangalie itakuaje.
Tz nisha zungusha sana mambo hayaendi.. Nimefunga biashara zote noa naenda UG ijumaa.. Kuna Biashara nafuatilia kutoka kwa wanao fanya nikapate ujuzi kidogo
 
Okay.. Mm nilichomekea hapo kutaka kujua Gari nzuri za kwenda Uganda na nauli ni bei gan??
Hata hilo la Trinity nahisi linaenda Uganda maana nakumbuka kwenye ubao wao jana nilipokwenda kukata tiketi nikaona wameandika Dar - Kigali to Kampala.
 
Hata hilo la Trinity nahisi linaenda Uganda maana nakumbuka kwenye ubao wao jana nilipokwenda kukata tiketi nikaona wameandika Dar - Kigali to Kampala.
Kama ndivyo litakuwa linazunguka sana kama sikosei.. Ngoja nifuatilie
 
Hata hilo la Trinity nahisi linaenda Uganda maana nakumbuka kwenye ubao wao jana nilipokwenda kukata tiketi nikaona wameandika Dar - Kigali to Kampala.
Hilo litamzunguusha yaani atapelekwa mpaka Kigali then Kampala na nauli itakuwa kubwa....kwa kutokea Dar njia rahisi ni Dar to Nairobi then Kampala...ukiondoka saa 12 alfajiri kesho yake saa 3 ama 4 upo Kampala hiyo ni non stop. Kama unatokea Mwanza kuna bus linaitwa Friends likiondoka alfajiri linafika saa 1 jioni Kampala
 
Back
Top Bottom