Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Tatizo la trinity dereva anakaa kushoto.... YAANI GARI INAENDESHWA NA WATU WAWILI. siku moja kidogo tugongwe na lory kisa dereva wa kulia alisinzia na huyu wa kushoto alitaka kuovertake.
Ha ha ha nyie watanzania kwa uongo mtaacha lini

Bus la Trinity dereva anakaa kushoto na mlango Wa kuingilia abiria uko kulia , sababu kubwa ni kuwa Rwanda wanafuata system ya ufaransa ndio maana wako hivyo

Na dereva ni mmoja ila wanabadilishana

Tupunguze uongo
 
Kwa upande wa Tanzania anakua na mwenzake anamwelekeza sababu kuu ni kama ifutavyo:-

* Anaweza kujisahau na kuhisi yupo Rwanda kwa hiyo atafata sheria za huko ndio maana kuna Mtanzania anatoa maelekezo sana.

* Usukani upo upande wa kushoto, wakati wa Ku overtake hawezi kuona mbele kwa hiyo yule wa kulia anamwambia ingia au subiri.

* Polisi wa Tz wasumbufu sana hususan wakikutana na magari ya nchi zingine. Wanakua wanawatafutia visababu ili wapate pesa.
Lakini akiwemo Mtz keshawazowea na wanamliziana na hilo nililiona juzi wakati tupo maeneo ya Moro.
 
Border vipi hakuna janja janja..?
Kama ni upekuzi kama kawaida mwanzo mwisho.
IMG_20180411_155547.jpg
 
Back
Top Bottom