Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Naona watoto wazuri wazuri wakikatisha tu hapa.
1523468299344.jpg
1523468346372.jpg
 
Naunga mkono hoja, nililiona kahama, ni zaidi ya basi lina vigezo vyote. Rwanda ni nchi ndogo ila wametuzidi sana kwenye sekta ya usafiri.
Hii gari inaanzia safari Shinyanga?
 
Naunga mkono hoja, nililiona kahama, ni zaidi ya basi lina vigezo vyote. Rwanda ni nchi ndogo ila wametuzidi sana kwenye sekta ya usafiri.
Kwa sababu ya basi la Trinity? Hebu jazia nyama kidogo
 
Kweli kwa safari za TZ to CHIGARI hakuna bus zuri zaidi ya Trinity.

ILA mdau King Sammy acha ulongo mkuu.
Nadhani au hujasafiri na baadhi ya mabasi.
.....
Trinity ni bus la kawaida sana kulinganisha na baadhi ya mabasi tuliyonayo hapa nchini. Ukipanda (mfano mdogo) hata Dar Lux tu la kwenda NRB alafu njoo usifie hiko kitu.
.....
Hapo sijataja sijui Shabiby Dar - Dom nadhani hamjui kuna kisu kiko pale, haya njoo kwa Tahmeed, nk
 
Back
Top Bottom