manzi james
Senior Member
- Sep 29, 2017
- 194
- 136
Trinity Nzuri saana 30krwf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishuka musanze?nipasieKile kituo cha nyuma yake kinaitwajwe ndo alishuka kama vipi nikupasie namba umtafute ni dogo dogo.
Ndio hapo hapo.Alishuka musanze?nipasie
Naunga mkono hoja, nililiona kahama, ni zaidi ya basi lina vigezo vyote. Rwanda ni nchi ndogo ila wametuzidi sana kwenye sekta ya usafiri.
Kuna wenye tunapenda water fallsHilo Trinity ni basi la kawaida sana labda kama Chakito.
Hwezi linganisha trinity na Kimbinyiko, Shabibi, Tavavile ama KING Yasin
Kamji kenyewe kamebanana utafikiri kiberiti, maisha magumu mpaka wenyeji wanatia huruma.
Kigali yaweza kiasi fulani kulinganishwa walau na mji wa Moshi other wise ni kimji cha kawaida tu sema tu hakuna joto kama dar na hiyo ni kutokana na ukanda.
Kuhusu warembo ni mwonekano tu wa nje kwani 99% ni waterfalls and testless.
Anaebisha namwaga mboga
Wivu tuUshamba tu
Hilo Trinity ni basi la kawaida sana labda kama Chakito.
Hwezi linganisha trinity na Kimbinyiko, Shabibi, Tavavile ama KING Yasin
Kamji kenyewe kamebanana utafikiri kiberiti, maisha magumu mpaka wenyeji wanatia huruma.
Kigali yaweza kiasi fulani kulinganishwa walau na mji wa Moshi other wise ni kimji cha kawaida tu sema tu hakuna joto kama dar na hiyo ni kutokana na ukanda.
Kuhusu warembo ni mwonekano tu wa nje kwani 99% ni waterfalls and testless.
Anaebisha namwaga mboga
Kigali unaijua?.Hilo Trinity ni basi la kawaida sana labda kama Chakito.
Hwezi linganisha trinity na Kimbinyiko, Shabibi, Tavavile ama KING Yasin
Kamji kenyewe kamebanana utafikiri kiberiti, maisha magumu mpaka wenyeji wanatia huruma.
Kigali yaweza kiasi fulani kulinganishwa walau na mji wa Moshi other wise ni kimji cha kawaida tu sema tu hakuna joto kama dar na hiyo ni kutokana na ukanda.
Kuhusu warembo ni mwonekano tu wa nje kwani 99% ni waterfalls and testless.
Anaebisha namwaga mboga
TypingMkuu unakwenda kigali kunyaza .?