Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Tatizo la trinity dereva anakaa kushoto.... YAANI GARI INAENDESHWA NA WATU WAWILI. siku moja kidogo tugongwe na lory kisa dereva wa kulia alisinzia na huyu wa kushoto alitaka kuovertake.
Linaendeshwaje na wawili fafanua kidogo tujua hatari iliyopo
 
Nilimshuhudia huyu dereva anavyoliondoa Ubungo stand asubuhi, aisee ilikuwa ni balaa, watu wanamshangilia jinsi alivyokuwa analiondoa kwa ustadi mkubwa huku akiongeza na manjonjo, hatari!
Naomba namba yake
 
Hilo litamzunguusha yaani atapelekwa mpaka Kigali then Kampala na nauli itakuwa kubwa....kwa kutokea Dar njia rahisi ni Dar to Nairobi then Kampala...ukiondoka saa 12 alfajiri kesho yake saa 3 ama 4 upo Kampala hiyo ni non stop. Kama unatokea Mwanza kuna bus linaitwa Friends likiondoka alfajiri linafika saa 1 jioni Kampala
Friends Nairobi linaingia saa ngap?
 
Kama mada inavyosema hapo juu kwa wale ambao wanafaham basi lenye ubora (luxury) ambalo lina sehemu ya kuchajia, full a/c.
Trinity
trinity-bus-kigali-station.jpg
 
Back
Top Bottom