Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Haha mambo hayo kwetu hayapo
Tena kuna ticket yangu hapo walinikatia wk mbili zilizopita baadae nikaahilisha safari wakagoma kunirudishia hela wakaniambia nikitaka kusafiri nije nisafiri na hiyo ticket kama ukipenda naeeza nikawasiliana nao ukaitumia.
 
Naenda kukata ya kwangu.
 
Tatizo la trinity dereva anakaa kushoto.... YAANI GARI INAENDESHWA NA WATU WAWILI. siku moja kidogo tugongwe na lory kisa dereva wa kulia alisinzia na huyu wa kushoto alitaka kuovertake.
 
Back
Top Bottom